COSTECH Integrated Repository

Filamu za Kiswahili nchini Tanzania: Athari za ‘Kauli’ za Wasambazaji-Wauzaji kwa Wasanii na Jamii

Show simple item record

dc.creator Shule, Vicensia
dc.date 2016-04-01T17:12:41Z
dc.date 2016-04-01T17:12:41Z
dc.date 2014
dc.date.accessioned 2018-03-27T08:43:40Z
dc.date.available 2018-03-27T08:43:40Z
dc.identifier http://hdl.handle.net/123456789/1412
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/123456789/3248
dc.description Baadhi ya tafiti zilizofanyika katika tasnia ya filamu za video (filamu) za Kiswahili nchini Tanzania zimeonesha kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya utayarishaji filamu na uuzaji wake. Uhusiano huo ni ule unaoonesha jinsi mchakato wa utayarishaji filamu unavyoweza kuathiri ubora wa filamu, hususan ukosefu wa elimu na taaluma ya filamu kwa wasanii. Pamoja na hayo, tafiti hizo hazikuweza kuweka bayana namna usambazaji unavyoweza kuathiri ubora wa filamu. Makala haya yanalenga kujenga hoja kuwa ubora wa filamu Tanzania ni suala linalochangamana zaidi na mfumo wa usambazaji na uuzaji wa filamu kuliko utayarishaji. Lengo hasa ni kuonesha jinsi ambavyo ubora wa filamu za Tanzania unavyopangwa na wasambazaji-wauzaji na siyo warudufishaji-wasambazaji au wasanii-watayarishaji kama inavyoonekana katika tafiti zilizotangulia. Kauli mbalimbali za wadau hao ndizo ambazo tunazichanganua katika makala haya.
dc.language sw
dc.publisher Taasisi ya Taaluma za Kiswahili
dc.relation Kioo cha Lugha Juz.12;
dc.subject Tanzania
dc.subject Filamu za Kiswahili
dc.title Filamu za Kiswahili nchini Tanzania: Athari za ‘Kauli’ za Wasambazaji-Wauzaji kwa Wasanii na Jamii
dc.type Journal Article, Peer Reviewed


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account