COSTECH Integrated Repository

Nafasi ya Kasida za Kiswahili Katika Kumtetea Mwanamke Zanzibar

Show simple item record

dc.creator HAMAD, Kombo Sharif
dc.date 2020-06-01T09:33:15Z
dc.date 2020-06-01T09:33:15Z
dc.date 2018-12
dc.date.accessioned 2020-08-12T14:33:05Z
dc.date.available 2020-08-12T14:33:05Z
dc.identifier http://repository:8080/xmlui/handle/123456789/100
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/123456789/38113
dc.description Available in print form, Tunguu Reference Library
dc.description Utafiti huu umeshughulikia nafasi ya kasida za Kiswahili katika kumtetea mwanamke. Kiini cha utafiti kimetokana na dhana kwamba baadhi ya watu katika jamii wanaamini kuwa kasida za Kiswahili hazina mchango wowote kwa jamii zaidi ya kuburudisha. Kutokana na hali hiyo, mtafiti alipata wazo la kufanya kazi hii baada ya kubaini kuwa hakuna utafiti wowote uliofanywa ukizihusisha kasida za Kiswahili katika utetezi wa mwanamke. Hivyo, utafiti huu umebainisha utetezi wa mwanamke katika nyanja mbalimbali kupitia kasida za Kiswahili. Utafiti huu una lengo kuu moja ambalo ni kuchunguza nafasi ya kasida za Kiswahili katika kumtetea mwanamke. Lengo hilo limekamilishwa na malengo mahsusi ambayo ni kubainissha kasida za Kiswahili zinazomtetea mwanamke, kubainisha utetezi wa mwanamke katika nyanja mbalimbali kupitia kasida za Kiswahili na kutathmini nafasi ya kasida za Kiswahili kwa jamii ya wanawake . Dira iliyotumika kuongoza utafiti huu ni nadhariya ya ufeministi wa Kiislamu. Mbinu za utafiti zilizotumika katika kazi hii, ni pamoja na mbinu ya maktabani, uwandani, mbinu za mahojiano ya ana kwa ana na watafitiwa na mbinu ya uchunguzi shirikishi uliofanywa katika sehemu ambazo kasida huwasilishwa. Utafiti umebainisha kuwa zipo baadhi ya kasida za Kiswahil zenye utetezi wa mwanamke. Aidha, matokeo ya utafiti huu yamebainisha kuwepo kwa utetezi wa mwanamke katika nyanja za kijamii, kielimu, kiuchumi na kisiasa. Utafiti umebaini kuwa, kasida zinamtetea mwanamke zaidi katika suala la ndoa. Utetezi wa mwanamke uliobainika katika kasida ni pamoja kuthaminiwa idhini ya mwanamke katika ndoa. Na mwanamke kupewa nafasi ya kuchagua mchumba
dc.format application/pdf
dc.language other
dc.publisher The State University of Zanzibar (SUZA)
dc.subject 1. Utetezi wa mwanamke - Zanzibar 2. Nafasi ya mwanamke katika jamii 3. Kasida na mwanamke wa kizanzibar
dc.title Nafasi ya Kasida za Kiswahili Katika Kumtetea Mwanamke Zanzibar
dc.type Thesis


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account