COSTECH Integrated Repository

Matumizi ya Kipashio "ni" katika Kitumbatu

Show simple item record

dc.creator HIJA, Silima Haji
dc.date 2020-06-08T09:39:02Z
dc.date 2020-06-08T09:39:02Z
dc.date 2018-11
dc.date.accessioned 2022-10-21T07:16:44Z
dc.date.available 2022-10-21T07:16:44Z
dc.identifier http://repository:8080/xmlui/handle/123456789/109
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/123456789/85100
dc.description Available in print form, Tunguu Reference Library
dc.description Utafiti huu unahusu matumizi ya kipashio ‘ni’ katika Kitumbatu. Utafiti umefanywa katika Wilaya ya Kaskazini A, katika Wilaya ndogo ya Tumbatu, Unguja, Zanzibar. Data za msingi zimepatikana kwa njia ya usaili, uchunguzi makini na masimulizi kutoka kwa wanafunzi na walimu wa Skuli za Sekondari za Tumbatu pamoja na wazee kutoka katika shehia ya Jongowe na Gomani. Malengo ya utafiti huu ni kubainisha aina za maneno ambazo huchukua kipashio ‘ni’ katika Kitumbatu. Kufafanua mazingira ya utokeaji wa kipashio ‘ni’ katika maneno ya Kitumbatu. Kujadili dhima ya kipashio ‘ni’ katika maneno ya Kitumbatu. Nadharia ya Umuundo imetumika katika utafiti huu. Utafiti umeonesha kuwa kipashio ‘ni’ katika Kitumbatu kina matumizi mbalimbali kwa watumiaji wa lahaja hiyo yaani Watumbatu. Miongoni mwa matumizi hayo ni kipashio ‘ni’ kama kiwakilishi cha nafsi ya kwanza umoja mtenda na mtendwa, kielezi cha mahali, kiwakilisha cha tukio, mzizi wa neno wenye hadhi ya swali na kitenzi kishirikishi. Utafiti huu ni muhuimu kwa sababu unawasaidia walimu, wanafunzi na watafiti wa somo la lughawiya katika kupata marejeo.
dc.format application/pdf
dc.language other
dc.publisher The State University of Zanzibar (SUZA)
dc.subject 1. Matumizi ya kipashio ‘ni’ - Kitumbatu 2. Lahaja - Kitumbatu i. Title
dc.title Matumizi ya Kipashio "ni" katika Kitumbatu
dc.type Thesis


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account