COSTECH Integrated Repository

Kauli za utendwa/utendewa katika tamthilia za Machozi ya Mwanamke na Heshima Yangu

Show simple item record

dc.creator Mahenge, Elizabeth
dc.date 2016-04-11T12:16:26Z
dc.date 2016-04-11T12:16:26Z
dc.date 2010
dc.date.accessioned 2018-04-18T11:06:13Z
dc.date.available 2018-04-18T11:06:13Z
dc.identifier Mahenge, E., 2010. Kauli za utendwa/utendewa katika tamthilia za Machozi ya Mwanamke na Heshima Yangu. Kioo cha Lugha, 4(1).
dc.identifier 0856-552X
dc.identifier http://hdl.handle.net/123456789/1476
dc.identifier http://dx.doi.org/10.4314/kcl.v4i1.61309
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/123456789/9169
dc.description To get full access please visit the following link http://www.ajol.info/index.php/kcl/article/view/61309
dc.description Kazi hii ni ya utafiti wa kiisimu mitindo unaolenga kulinganisha na kulinganua kazi mbili za tamthiliya za Kiswahili ambazo ni Heshima Yangu (Muhando, 1974) na Machozi ya Mwanamke (Ngozi, 1977). Kwanza, makala inachunguza matumizi ya kauli za utendwa/utendewa katika tamthiliya hizi ili kujua kama ni ya hiari au shinikizo la muktadha. Vilevile lengo ni kujua tofauti ya matumizi hayo kwa waandishi hawa ili kuona wana mwelekeo gani. Pili, makala inatafuta sababu za matumizi haya ya kauli zenye utendwa/utendewa katika tamthiliya hizo. Baada ya hapo, makala inachunguza aina za utendwa/utendewa zilizojitokeza katika tamthiliya hizo. Dai tete linaloongoza makala hii ni kwamba, katika tamthilia hizi mbili, wanaume wanatumia kwa wingi kauli zenye utendwa kuliko wanawake
dc.language sw
dc.publisher TUKI
dc.subject Tamthilia
dc.subject Kauli za utendwa/utendewa
dc.title Kauli za utendwa/utendewa katika tamthilia za Machozi ya Mwanamke na Heshima Yangu
dc.type Journal Article, Peer Reviewed


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account