COSTECH Integrated Repository

Kukitandawazisha Kiswahili kupitia Simu za Kiganjani: Tafakari kuhusu Isimujamii

Show simple item record

dc.creator Mutembei, Aldin K.
dc.date 2016-05-20T12:59:22Z
dc.date 2016-05-20T12:59:22Z
dc.date 2011
dc.date.accessioned 2018-04-18T11:06:13Z
dc.date.available 2018-04-18T11:06:13Z
dc.identifier Mutembei, A., 2011. Kukitandawazisha Kiswahili kupitia simu za kiganjani: tafakari kuhusu isimujamii.
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/2186
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/2186
dc.description Mojawapo ya matokeo ya utandawazi ni kuwapo kwa simu za kiganjani1 na matumizi yake. Siku hizi nchini Tanzania mawasiliano ya simu yamekuwako kwa wingi kuliko ilivyokuwa tangu wakati wa uhuru hadi katikati ya miaka ya tisini. Mahali ambapo hakukuwa na mawasiliano kabisa, kama sehemu nyingi za vijiji vya Tanzania, siku hizi kuna mawasiliano kwa njia ya simu hizi za kiganjani na lugha inayotumika katika mawasiliano haya ni Kiswahili. Lugha ya Kiswahili inayotumika katika simu hizi ni ya kiutandawazi na pengine si rahisi kuiona nje ya wigo huu wa kiutandawazi ambao pia unajumuisha mawasiliano kwa barua pepe, na maongezi katika tovuti. Katika lugha hii ya kiutandawazi, watu huwasiliana kwa kutumiana matini fupi fupi zenye mchanganyiko wa maneno na namba, na hivyo kuunda lugha tofauti na iliyozoeleka katika jamii nyingine.
dc.language sw
dc.title Kukitandawazisha Kiswahili kupitia Simu za Kiganjani: Tafakari kuhusu Isimujamii
dc.type Journal Article, Peer Reviewed


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account