COSTECH Integrated Repository

Traditional Dances and Bongo Fleva: A Study of Youth Participation in Ngoma Groups in Tanzania

Show simple item record

dc.creator Sanga, Daines Nicodem
dc.date 2016-08-16T08:17:24Z
dc.date 2016-08-16T08:17:24Z
dc.date 2013
dc.date.accessioned 2018-03-27T08:43:46Z
dc.date.available 2018-03-27T08:43:46Z
dc.identifier 1614-2373
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/3521
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/3521
dc.description Kasi ya vijana katika kukuza muziki wa kizazi kipya katika kipindi cha utandawazi haiendani na kasi ya ukuzaji wa ngoma za asili. Mpaka sasa haujafanyika utafiti wa kina kuhusu kuzuka kwa tabia hii. Makala haya yanatumia mahojiano na vikundi vya ngoma vitatu halikadhalika wanamuziki wa kizazi kipya kuweka bayana chanzo cha tatizo. Aidha, makala haya yanatumia nadharia ya utendaji kama darubini kuchunguza matatizo ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni yanayowakumba vijana na namna yanavyochochea mfumuko wa tabia hii mpya. Utafiti huu umegundua kwamba uhaba wa mianya ya kiuchumi na kisiasa kwa vijana, nafasi ya ngoma za asili katika jamii ya sasa, mahusiano hasi kati ya vijana na wazee katika kuuendeleza utamaduni pamoja na vijana kutaka maendeleo ya haraka kuwa ndio chimbuko la tatizo.
dc.description DAAD
dc.language en
dc.publisher Swahili Forum
dc.relation SWAHILI FORUM 20 (2013);
dc.subject Traditional dances
dc.subject Bongo Fleva
dc.subject Youth
dc.subject Tanzania
dc.title Traditional Dances and Bongo Fleva: A Study of Youth Participation in Ngoma Groups in Tanzania
dc.type Journal Article


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account