COSTECH Integrated Repository

UDSM waja na Suhuhisho la Kielekroniki Kuboresha Usalama wa Barabarani

Show simple item record

dc.creator Mndeme, Mathew M.
dc.creator Mvungi, Nerey H.
dc.creator Kundaeli, Herald K.
dc.creator Kimaro, Honest C.
dc.creator Hamisi, Ndeyetabura
dc.date 2016-09-19T12:41:42Z
dc.date 2016-09-19T12:41:42Z
dc.date 2016-08
dc.date.accessioned 2018-03-27T08:53:04Z
dc.date.available 2018-03-27T08:53:04Z
dc.identifier Mndeme, et tal, "UDSM waja na Suhuhisho la Kielekroniki Kuboresha Usalama wa Barabarani", Habari Leo, pp 7-8, 29th August 2016
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/3732
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/3732
dc.description Developed inovative system, the Swahili version
dc.description Kwa kuzingatia changamoto zilizooanishwa hapo juu na nyingine, watafiti wa fani ya TEHAMA wa CoICT wakiongozwa na Prof. Nerey Mvungi, Dkt. Honest Kimaro, Prof. Herald Kundaeli, Dkt. Ndyetabura Hamisi na Bw. Mathew Mndeme chini ya ufadhili wa Malamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wanaojishughulisha na usalama barabarani, wanafanya utafiti wa jinsi ya kutumia mifumo ya TEHEMA ili kuchangia katika kutatua matatizo ya utekelezaji wa sheria na kanuni za usalama barabarani. Kwa zaidi ya miaka miwili iliyopita, CoICT imekutana na wadau mbalimbali kama Wizara ya Mambo ya Ndani na ya Ujenzi na Mawasiliano, Jeshi la Polisi, Sumatra, Tanroad, Costech, TRA, na wengine wengi ili kuelewa mifumo ya taarifa iliyopo na inayotegemewa kutumika. Hali kadhalika, kuona kama kuna uhusiano wa mifumo iliyoko kati ya taasisi moja na zingine, pamoja na changamoto za mifumo hiyo ili kutafuta suluhisho la kitafiti kupitia matumizi ya TEHAMA. Moja ya matokeo ya la utafiti huu ni mfumo wa kielekroniki ujulikanao kama Integrated Road Safety Management System au iROAD kwa kifupi.
dc.description Tanzania Communication Regulatory Authority
dc.language en
dc.publisher Habari Leo
dc.subject usalama barabarani
dc.subject tehama
dc.subject mifumo ya kielectroniki
dc.subject usalama ya mali
dc.title UDSM waja na Suhuhisho la Kielekroniki Kuboresha Usalama wa Barabarani
dc.type Newspaper Article


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account