COSTECH Integrated Repository

Uliberali mamboleo ndani ya MKUKUTA

Show simple item record

dc.creator Kweka, Opportuna Leo
dc.date 2016-09-21T17:24:35Z
dc.date 2016-09-21T17:24:35Z
dc.date 2009
dc.date.accessioned 2018-03-27T09:09:46Z
dc.date.available 2018-03-27T09:09:46Z
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/4178
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/4178
dc.description Makala hii inapitia mikakati ya maendeleo inayoongoza Tanzania leo. Ingawa mikakati hii inafuatwa na nchi nyingi masikini makala imeichukulia Tanzania kama mfano na kulinganisha tulikotoka, enzi za mikakati ya kupunguza umasikini. Makala inajaribu kueleza kuwa mikakati tunayofuata sasa ya kupunguza umasikini inafuata itikadi ya uliberali – mamboleo inayosisitiza sana ukuaji wa uchumi pasipo kuangalia usawa katika ugawanyaji wa faida itokanayo na mapato haya ya uchumi.
dc.language other
dc.publisher Bulletion of Mwalimu Nyerere Chair
dc.subject neoliberalism, poverty reduction, decentralization
dc.title Uliberali mamboleo ndani ya MKUKUTA
dc.title Neoliberalism in the Poverty Reduction Strategy
dc.type Other


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account