COSTECH Integrated Repository

Muziki si Majigambo, Muziki ni Sanaa si Sawa na Sanaa ya Urembo”: Uhakiki wa Dhima za Majigambo katika Fasihi

Show simple item record

dc.creator Samwel, Method
dc.date 2017-05-25T07:36:27Z
dc.date 2017-05-25T07:36:27Z
dc.date 2013
dc.date.accessioned 2018-03-27T12:39:57Z
dc.date.available 2018-03-27T12:39:57Z
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/4552
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/4552
dc.description Majigambo no moja ya vipangele maarufu katika nyimbo za muziki wa Bongo fleva au muziki wa kizazi kipya. Hata hivyo matumizi ya majigambo katika ushairi wa Bongo fleva yamekuwa yakikemewa na baadhi ya wasanii, wadau na hata hadhira ya ushairi wenyewe. Mmoja wa wasanii waliosimama kidete kupinga majigambo katika ushairi huu ni Selemani Msindi (phk Afande Sele) katika wimbo wake uitwao “Mayowe Part II”. Katika wimbo huo msanii huyo anadai kwamba ushairi wa Bongo Fleva, na muziki wenyewe kwa ujumla, haupaswi kuwa na majigambo bali unaaswa kutoa ujumbe mzito wenye manufaa kwa jamii. Afande Sele anadai kwamba si busara kujigamba juu ya mambo ambayo hujawahi kuyafanya huku kuna matatiizo mengi katika jamii kama vile njaa, UKIMWI, umiskini, uongozi mbaya na kadhhalika ambayo wasanii wangeweza kuyashughulikia katika nyimbo zao. Makala haya yanajaribu kutathmini ikiwa ni kweli majigambo si muhimu katika ushairi wa Bongo fleva. Halikadhalika, yanajadili dhima ya majigambo katika muziki huo.
dc.language sw
dc.publisher TUKI
dc.relation Mulika No. 32, 2013: 65-81;
dc.subject Muziki, Majigambo, Bongo Fleva, Fasihi ya Kiswahili
dc.title Muziki si Majigambo, Muziki ni Sanaa si Sawa na Sanaa ya Urembo”: Uhakiki wa Dhima za Majigambo katika Fasihi
dc.type Journal Article, Peer Reviewed


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account