COSTECH Integrated Repository

Bongo Fleva Inapotosha Jamii: Je ni Dai Jipya katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili?

Show simple item record

dc.creator Samwel, Method
dc.date 2017-05-25T07:40:40Z
dc.date 2017-05-25T07:40:40Z
dc.date 2012
dc.date.accessioned 2018-03-27T12:39:57Z
dc.date.available 2018-03-27T12:39:57Z
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/4553
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/4553
dc.description Muziki wa Bongo Fleva umepitia kipindi kigumu cha kihistoria kwa kukataliwa na kuonekana kwa unapotosha jamii. Japo kwa sasa muziki huu unaoneana kukubalika, bado kuna baadhi ya watu wanauona kwamba unapotosha jamii. Miongoni mwa mambo yaliyoufanya muziki huu ukataliwe na kuhusishwa na upotoshaji wa jamii ni mavazi ya wasanii wake, maneno ya kihuni yanayotumika, tabia za wasanii, matumizi ya madawa ya kulevya, pombe na mengine ya aina hiyo. Makala haya yanapitia na kuangalia ikiwa dai kwamba kazi za fasihi hasa muziki wa Bongo Fleva unapotosha jamii ni jipya au la. Aidha, makala haya yanatoa mwelekeo mpya wa kufuatwa na wanajamii katika kuzihukumu kazi za fasihi za aina hiyo.
dc.language sw
dc.publisher Kioo cha Lugha No. 10 Vol. 10, TUKI: Dar es Salaam.
dc.subject Bongo Fleva, Upotoshaji, Nadharia za Fasihi
dc.title Bongo Fleva Inapotosha Jamii: Je ni Dai Jipya katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili?
dc.type Journal Article, Peer Reviewed


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account