COSTECH Integrated Repository

Unapoteza wakati wako bure! Hakuna atakayekuamini: Usawiri wa Ubakaji katika Riwaya Teule za Kiswahili

Show simple item record

dc.creator Mosha, Ernesta S.
dc.date 2018-09-11T18:22:07Z
dc.date 2018-09-11T18:22:07Z
dc.date 2016
dc.date.accessioned 2021-05-07T11:37:33Z
dc.date.available 2021-05-07T11:37:33Z
dc.identifier Kiswahili. Juz. 79 Uk. 53 -69
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/4875
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/4875
dc.description Makala haya yanajadili tatizo la ubakaji kama lilivyosawiriwa katika riwaya teule za Kiswahili. Kwa kutumia kilongo cha ashiki ya kujamiiana, makala yanaweka wazi mbinu mbalimbali zinazotumiwa na waandishi na kuwafanya wabakaji kuonekana kuwa hawana makosa huku wanawake wanaobakwa wakibebeshwa lawama kutokana na unyanayasaji wanaopata. Mwandishi wa makala anaeleza kuwa usawiri wa aina hii unaendeleza unyanyasaji wa wanawake na unarudisha nyuma juhudi za jamii katika kuleta usawa wa wanawake na wanaume. Athari kubwa inayoweza kutokana na usawiri huu ni kuhalalisha unyanyasaji wa wanawake katika jamii inayolea na kuendeleza vitendo hivi vya kinyanyasaji. Aidha, makala yanabainisha kuwa riwaya zinaweza kutumika katika harakati za kupambana na tatizo hili la ubakaji kwa kusawiri mbinu zitakazowasaidia wanajamii kukomesha ubakaji pamoja na kukosoa vilongo vinavyoendeleza ubakaji kwa kuchomoza na kushadidia vilongo mbadala vinavyowaelimisha wanajamii namna wanavyoweza kuunga mkono harakati za kutokomeza aina hii ya unyanyasaji katika jamii ya Tanzania.
dc.language sw
dc.title Unapoteza wakati wako bure! Hakuna atakayekuamini: Usawiri wa Ubakaji katika Riwaya Teule za Kiswahili
dc.type Journal Article, Peer Reviewed


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account