Show simple item record

dc.creator MAHENGE, ELIZABETH GODWIN
dc.date 2018-10-24T10:31:49Z
dc.date 2018-10-24T10:31:49Z
dc.date 2010
dc.date.accessioned 2021-05-07T11:37:33Z
dc.date.available 2021-05-07T11:37:33Z
dc.identifier 978-9987-531-14-1
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/4950
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/4950
dc.description Tamthiliya hii inaweza kutumika kama "darasa" kuhusiana na mambo ya ulemavu. Tamthiliya hii inajaribu kujenga fikra za ujumuishwaji wa watu wenye ulemavu katika mazingira ambamo wametengwa ama na wanajamii wenzao wasio na ulemavu kutokana na "mitazamo hasi" waliyonayo; au wanatengwa kutokana na miundo mbinu isiyo Rafiki katika mazingira au maofisi hasahasa katika mfumo wa elimu, afya, ajira kwa kutaja kwa uchache.
dc.description Tamthiliya hii ya CHANGAMOTO inagusia changamoto wanazokumbana nazo watu wenye mahitaji maalumu katika muktadha wa Bara la Afrika hususani Tanzania. Tamthiliya inasawiri changamoto wanazokumbana nazo watu wenye ulemavu wa viungo, viziwi, wenye ualbino, na bubu.
dc.language sw
dc.publisher TUKI
dc.subject CHANGAMOTO ZA ULEMAVU, HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU, UNYANYAPAA, UBAGUZI
dc.title CHANGAMOTO
dc.type Book


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account