COSTECH Integrated Repository

Mwingiliano wa Lugha ya Mazungumzo na ya Maandishi katika Uandishi wa Kitaaluma wa Insha za Wanafunzi

Show simple item record

dc.creator Peterson, Rhoda
dc.date 2018-11-02T11:19:47Z
dc.date 2018-11-02T11:19:47Z
dc.date 2012
dc.date.accessioned 2021-05-07T11:36:42Z
dc.date.available 2021-05-07T11:36:42Z
dc.identifier 048X
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/4955
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/4955
dc.description Lugha ya Mazungumzo na ya Maandishi ni njia tofauti za mawasiliano zinazotumiwa na wanadamu. Hata hivyo baadhi ya sifa za lugha ya mazungumzo hujitokeza katika lugha ya maandishi na za lugha ya maandishi hujitokeza katika lugha ya mazungumzo. Mwingiliano huo husababisha uchanganyaji wa miundo ya njia hizi mbili za mawasiliano kwa baadhi ya waandishi. Lengo la makala haya ni: Mosi, kubainisha sifa za lugha ya mazungumzo na ya maandishi hasa katika kipengele cha muundo. Pili, kuonesha mwingiliano wa sifa hizo na sababu zake. Tatu, kutathmini athari za mwingiliano huo katika uandishi wa kitaaluma wa insha za wanafunzi. Inatarajiwa kuwa makala haya yatasaidia kupanua uelewa wa wanafunzi na waandishi kwa jumla kuhusu taratibu za uandishi, hasa wa kitaaluma.
dc.description Binafsi
dc.language sw
dc.publisher TUKI
dc.relation Vol. 75;
dc.subject Uandishi wa Kitaaluma, Lugha ya Mazungumzo, Lugha ya Maandishi, Kiswahili
dc.title Mwingiliano wa Lugha ya Mazungumzo na ya Maandishi katika Uandishi wa Kitaaluma wa Insha za Wanafunzi
dc.type Journal Article, Peer Reviewed


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account