COSTECH Integrated Repository

Dhana ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar: Uchambuzi kupitia Lugha ya Kiswahili

Show simple item record

dc.creator Mutembei, Aldin K.
dc.date 2019-07-29T15:30:55Z
dc.date 2019-07-29T15:30:55Z
dc.date 2016-02-15
dc.date.accessioned 2021-05-07T11:37:33Z
dc.date.available 2021-05-07T11:37:33Z
dc.identifier Mutembei, A.K, 2016
dc.identifier 2026 8297
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/5293
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/5293
dc.description Muungano kati ya watu wa Tanganyika na Zanzibar unachunguzwa kihistoria ambapo hoja za kijamii, kisiasa na kiuchumi hutolewa katika kuhalalisha uhistoria wa muungano huo wa kipekee. Ingawa kuna baadhi ya mijadala ya kikatiba kuhusu nguvu za kisheria za muungano, hoja za kiisimu ni mara chache hutolewa ili kuongezea uhalali wa muungano huo unaobishaniwa. Makala hii inatoa mkabala wa kiisimu kuhusu muungano. Kwa kutumia nadharia ya usafiri kama ilivyoelezwa na Edward said (1983), makala inajadili kuenea kwa Kiswahili Sanifu katika Tanzania ambapo kuna lugha zaidi ya 123 huku nyingine zikiwa na sarufi na kamusi zilizoandikwa. Hoja ya Kiswahili sanifu inafafanuliwa zaidi kwa kugawanywa katika vipengele kadha kwa mujibu wa nadharia ya usafiri. Mwishowe makala inaonesha kuwa lugha na fasihi ya Kiswahili huku vikiongozwa na Kiswahili sanifu vinajenga hoja ya nguvu kuhusu muumano na uhalali wa muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar.
dc.language en
dc.relation JULACE Vol. 1;No. 2
dc.subject Lugha ya Kiswahili
dc.subject Fasihi ya Kiswahili
dc.subject Muungano
dc.subject Kamati ya Lugha Afrika Mashariki
dc.subject Nadharia ya Usafiri
dc.title Dhana ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar: Uchambuzi kupitia Lugha ya Kiswahili
dc.type Journal Article, Peer Reviewed


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account