dc.creator |
Qorro, Martha |
|
dc.date |
2019-10-04T15:18:52Z |
|
dc.date |
2019-10-04T15:18:52Z |
|
dc.date |
2005 |
|
dc.date.accessioned |
2021-05-03T13:06:34Z |
|
dc.date.available |
2021-05-03T13:06:34Z |
|
dc.identifier |
Qorro, M. 2005. Matatizo ya Kutumia Kiingereza Kufundishia Katika Shule za Sekondari na Vyuo vya Juu Tanzania. Kioo cha Lugha, Juzuu la 3, 22 -30. |
|
dc.identifier |
http://hdl.handle.net/20.500.11810/5316 |
|
dc.identifier.uri |
http://hdl.handle.net/20.500.11810/5316 |
|
dc.description |
Makala hii inaeleza matatizo yanayotokana na kutumia Kiingereza kufundishia katika shule za sekondari na vyuo nchini Tanzania. Makala inaanza kwa kufafanua tofauti zilizopo kati ya kufundisha lugha kama somo kwa lengo la kupanua mawanda ya mawasiliano; na ktumia lugha kama nyenzo ya kutolea maarifa. Makala imebainisha matatizo ya kijamii, kiutamaduni, kiuchumi, kielimu na kiakili yanayotokana na kutumia Kiingereza kama lugha ya kufundishia. Katika kubainisha matatizo hayo; makala imetumea vielelezo mbalimbali kutoka kwa walengwa wa viwango tofauti vya elimu; kuanzia kidato cha kwanza hadi chuo kikuu. Makala inahitimisha kwa kupendekeza kuwa ni vema kutumia lugha inayoeleweka; lugha ya jamii pana, Kiswahili, ili wanafunzi waweze kupata maarifa na ujuzi; sambamba na hilo, kufundisha Kiingereza kwa ufasaha zaidi kama lugha (bila kujitegemeza kuwa lugha ya kufundishia) – kama inavyofundishwa Kifaransa au Kichina. |
|
dc.language |
en |
|
dc.publisher |
Kioo cha Lugha |
|
dc.relation |
;Juzuu la 3 |
|
dc.title |
Matatizo ya Kutumia Kiingereza Kufundishia Katika Shule za Sekondari na Vyuo vya Juu Tanzania |
|
dc.type |
Journal Article, Peer Reviewed |
|