COSTECH Integrated Repository

Mapitio ya Tafiti Kuhusu Lugha ya Kufundishia kwa Kuzingatia Sera Mpya ya Elimu Iliyopendekezwa Nchini Tanzania

Show simple item record

dc.creator Qorro, Martha
dc.date 2019-10-05T10:53:58Z
dc.date 2019-10-05T10:53:58Z
dc.date 2017
dc.date.accessioned 2021-05-03T13:06:34Z
dc.date.available 2021-05-03T13:06:34Z
dc.identifier Qorro, M. 2017. Mapitio ya Tafiti Kuhusu Lugha ya Kufundishia kwa Kuzingatia Sera Mpya ya Elimu Iliyopendekezwa Nchini Tanzania. Mulika, pp. 111-141.
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/5320
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/5320
dc.description Suala la lugha ya kufundishia katika elimu ya sekondari nchini Tanzania limefafitiwa na kujadiliwa kuanzia miaka ya 1970 hadi 2000, lakini mjadala huo unazidi kuleta mabishano wakati huu tunapoelekea katika kile kinachoitwa na watu wa tabaka aali kuwa ni ‘zama za utandawazi’. Mabishano hayo yanahusu lugha ipi, kati ya Kiswahili au Kiingereza, inafaa kutumiwa kama lugha ya kufundishia kuanzia elimu ya sekondari had elimu ya juu nchini Tanzania. Mwaka 2009, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, 2009) ilipendekeza Sera mpya ya elimu na mafunzo inayotka Kiingereza kiwe lugha ya kufundishia kuanzia elimu ya awali hadi elimu ya juu. Sera hii iliyopendekezwa inapingana na matokeo ya tafiti mbalimbali na haijali hali halisi ya lugha ilivyo katika jamii nchini Tanzania. Kwa sababu hiyo, imenipasa kupitia upya toleo la awali la makala hii (Qorro, 2008) na kupitia upya tafiti mbalimbali zilizofanywa kuhusu suala la lugha ya kufundishia kwa kuzingatia sera mpya ya elimu nchini Tanzania iliyopendekezwa mwaka 2009. Aidha, tutajadili njia zingine zilizopendekezwa na tafiti hizi katika kushughulikia tatizo la lugha ya kufundishia.
dc.language en
dc.publisher Mulika
dc.title Mapitio ya Tafiti Kuhusu Lugha ya Kufundishia kwa Kuzingatia Sera Mpya ya Elimu Iliyopendekezwa Nchini Tanzania
dc.type Journal Article, Peer Reviewed


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account