COSTECH Integrated Repository

Mwangwi wa Shaaban Robert katika Muziki wa Hip hop na Bongo Fleva nchini Tanzania

Show simple item record

dc.creator Omari, Shani
dc.date 2020-02-13T08:57:47Z
dc.date 2020-02-13T08:57:47Z
dc.date 2015
dc.date.accessioned 2021-05-07T11:37:33Z
dc.date.available 2021-05-07T11:37:33Z
dc.identifier 0856-0129
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/5375
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/5375
dc.description Shaaban Robert (aliyeishi 1909-1962) ni mmoja wa washairi mahiri wa ushairi wa Kiswahili. Pia, ni mtunzi wa kazi nyingine kama vile insha na riwaya. Umahiri wake unajidhihirisha si tu kwa wingi wa kazi alizotunga, bali pia uteuzi wa fani na maudhui katika kazi hizo. Ingawa alishaiaga dunia muda mrefu uliopita lakini makala haya yanaona kuwa kuna haja ya kuchambua mwangwi wake katika muziki wa Hip hop na Bongo fleva nchini Tanzania. Uandishi wa makala haya umechochewa si tu na umaarufu wa Shaaban Robert, kazi zake na umaarufu wa muziki huu kiasi cha kuwashughulisha watafiti na wanazuoni mbalimbali bali pia kujitokeza kwa vipengele kadhaa vinavyoonekana kushabihiana katika kazi zao za sanaa ingawa wasanii hawa wameishi katika vipindi tofauti. Hivyo basi, madhumuni ya makala haya ni kuchunguza namna wasanii wa muziki wa Hip hop na Bongo fleva wanavyofanana katika baadhi ya vipengele vya tungo zao na Shaaban Robert. Jambo hili limechunguzwa kupitia baadhi ya kazi zao za ushairi na kuchambuliwa kwa kutumia nadharia ya Mwingilianomatini.
dc.publisher Mulika, TUKI
dc.relation 34;
dc.subject Mwangwi, Shaaban Robert, Muziki wa Hip hop, Tanzania
dc.title Mwangwi wa Shaaban Robert katika Muziki wa Hip hop na Bongo Fleva nchini Tanzania
dc.type Journal Article, Peer Reviewed


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account