COSTECH Integrated Repository

Tenzi Tafsiriwa katika Kiswahili: Ruwaza ya Shujaa Inavyojenga Falsafa katika Utenzi wa Kalevala

Show simple item record

dc.creator Mwagike, Asifiwe
dc.creator Omari, Shani
dc.date 2020-02-13T09:28:47Z
dc.date 2020-02-13T09:28:47Z
dc.date 2016
dc.date.accessioned 2021-05-07T11:37:33Z
dc.date.available 2021-05-07T11:37:33Z
dc.identifier 978-9976-9935-1-6
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/5379
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/5379
dc.description Utenzi wa Kalevala ulichapishwa kwa mara ya kwanza kwa Kifini mwaka 1849. Tangu hapo utenzi huo ulitafsiriwa katika lugha zaidi ya arobaini kama vile Kijerumani (1852), Kiingereza (1880), Kirusi (1888), Kihispaniola (1953) na Kiswahili (1992). Hii dhahiri kuwa tafsiri ni moja ya nyenzo muhimu katika maendeleo ya taaluma mbalimbali na mawasiliano ulimwenguni kote. Lengo la makala hii ni kuchunguza namna ruwaza ya shujaa katika utenzi huu, ambao ni kazi muhimu ya tafsiri kwa Kiswahili na katika ushairi wa Kiswahili, inavyojenga na kuibua falsafa katika utenzi huo. Makala hii inatumia nadharia ya ruwaza ya shujaa ya Clyde Kluckhohn (1965) ili kuibua falsafa katika utenzi husika. Data za makala hii zimepatikana baada ya usomaji makini wa utenzi husika pamoja na machapisho mbalimbali yahusikayo. Makala hii imebaini kuwa ruwaza ya shujaa si tu njia ambazo mashujaa katika kazi ya fasihi wanapitia bali pia ni mkabala au nadharia muhimu ya kiuchambuzi wa kazi ya fasihi, hususan utendi.
dc.publisher Nadharia za Tafsiri, Ukalimani na Uundaji wa Istilahi, Daud Publishing Company Ltd
dc.subject Ruwaza ya Shujaa, Falsafa, Utenzi wa Kalevala
dc.title Tenzi Tafsiriwa katika Kiswahili: Ruwaza ya Shujaa Inavyojenga Falsafa katika Utenzi wa Kalevala
dc.type Book chapter


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account