COSTECH Integrated Repository

‘Mgogoro’ wa Ushairi wa Kiswahili bado Upo?: Uchunguzi wa Nyimbo za Muziki wa Hip hop na Bongo fleva nchini Tanzania

Show simple item record

dc.creator Omari, Shani
dc.date 2020-02-13T09:35:07Z
dc.date 2020-02-13T09:35:07Z
dc.date 2017
dc.date.accessioned 2021-05-07T11:37:33Z
dc.date.available 2021-05-07T11:37:33Z
dc.identifier 0856-552 X
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/5380
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/5380
dc.description Nyimbo za muziki wa Hip hop na Bongo fleva zimekuwa maarufu nchini Tanzania kuanzia miaka ya 1980. Nyimbo hizi, kama mojawapo ya tanzu au kipera cha ushairi simulizi wa Kiswahili, zimekuwa ni chanzo kizuri cha utafiti kuhusiana na masuala mbalimbali yahusikayo. Miongoni mwa mambo yanayoonekana kuanza kujitokeza katika nyimbo hizo ni mgogoro wa ushairi kama ule ambao ulitokea miaka ya 1970 katika ushairi wa Kiswahili. Makala hii inalenga kulichunguza suala hili ili kujua namna linavyojitokeza pamoja na mawanda yake. Makala ya utafiti huu imejikita hasa katika kuchunguza mashairi ya nyimbo za muziki huu ili kuchunguza viashiria vya mgogoro huu. Nadharia ya Uhemenitiki ndiyo iliyotumika katika uchambuzi wa data za makala hii. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa kuna mjadala wa chini kwa chini unaoendelea baina ya wasanii kupitia nyimbo zao kuhusiana na shairi zuri la muziki wao liweje kifani na hata kimaudhui. Hata hivyo bado ‘mgogoro’ huo haujafikia upeo mkubwa.
dc.publisher Kioo cha Lugha, TUKI
dc.relation 15;
dc.subject Mgogoro’, Ushairi wa Kiswahili, Nyimbo, Hip hop na Bongo fleva, Tanzania
dc.title ‘Mgogoro’ wa Ushairi wa Kiswahili bado Upo?: Uchunguzi wa Nyimbo za Muziki wa Hip hop na Bongo fleva nchini Tanzania
dc.type Journal Article, Peer Reviewed


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account