COSTECH Integrated Repository

Ujumi wa Mtu Mweusi katika Kazi za Nathari za M.M. Mulokozi

Show simple item record

dc.creator Omari, Shani
dc.date 2020-02-13T14:04:49Z
dc.date 2020-02-13T14:04:49Z
dc.date 2018
dc.date.accessioned 2021-05-07T11:37:33Z
dc.date.available 2021-05-07T11:37:33Z
dc.identifier 978 9976 5316 19
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/5381
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/5381
dc.description Mugyabuso Mlinzi Mulokozi ni mwanataaluma mahiri katika fasihi ya Kiswahili na Kiafrika. Ni mtunzi wa kazi mbalimbali kama vile riwaya, tenzi, tamthiliya na mashairi. Hata hivyo, sura hii inaangazia kazi zake za kinathari ambazo hasa zinalenga hadhira ya watoto na vijana. Kazi hizo ni Ngome ya Mianzi (1991), Ngoma ya Mianzi (1991) na Moto wa Mianzi (1996). Vitabu hivi vinahusu mapambano baina ya Wahehe na Wadachi mnamo miaka ya 1891-1898. Tunachunguza namna vipengele vya Ujumi wa Mtu mweusi vinavyojitokeza katika kazi hizo. Baada ya utangulizi huu mfupi, sehemu inayofuata inawasilisha muhtasari wa vitabu teule. Sehemu hii itafuatiwa na fasili ya Ujumi wa Mtu mweusi kisha uchambuzi wa Ujumi wa Mtu mweusi katika kazi teule za Mulokozi. Umuhimu wa Ujumi wa Mtu mweusi kifasihi na kijamii pia unazungumziwa na mwisho kabisa ni hitimisho.
dc.publisher Fasihi, Lugha na Utamaduni wa Kiswahili na Kiafrika (Shani Omari na Method Samwel) (wah.), TUKI
dc.subject Ujumi, Mtu Mweusi, Nathari, Mulokozi
dc.title Ujumi wa Mtu Mweusi katika Kazi za Nathari za M.M. Mulokozi
dc.type Book chapter


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account