COSTECH Integrated Repository

Misemo ya ‘Vyuma Vimekaza’: Uchambuzi wa Mtindo na Dhima yake

Show simple item record

dc.creator Omari, Shani
dc.date 2020-02-20T08:03:44Z
dc.date 2020-02-20T08:03:44Z
dc.date 2019
dc.date.accessioned 2021-05-07T11:37:34Z
dc.date.available 2021-05-07T11:37:34Z
dc.identifier 2546-2229
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/5387
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/5387
dc.description Misemo ni kipera kimojawapo cha semi. Ni fungu la maneno lenye maana maalumu, ujumbe kwa muhtasari na ukweli fulani. Misemo mingi huibuka na kutumika kulingana na muktadha fulani wa kijamii. Hivi karibuni (kuanzia mwaka 2016) kumezuka misemo anuwai miongoni mwa Watanzania yenye kuhusisha neno ‘vyuma’ ili kuwasilisha hali au ujumbe fulani. Miongoni mwa misemo hiyo ni ‘Vyuma Vimekaza’, ‘Vyuma Vimebana’, ‘Vyuma Vimeachia’ na kadhalika. Lengo la makala hii ni kujadili maana ya misemo hiyo miongoni mwa watumiaji wake katika muktadha wa sasa nchini Tanzania. Aidha, makala inachambua mitindo iliyotumika katika misemo hiyo na dhima zake. Misemo hii imekusanywa kutoka kwa jamii (baadhi ya watumiaji wa misemo hii), mitandaoni na magazetini. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kwamba misemo hii inatumia mitindo mbalimbali na ina dhima kadhaa kifasihi na kijamii.
dc.description Self
dc.publisher Kiswahili Journal, TUKI, University of Dar es Salaam
dc.relation 82;
dc.subject Misemo, ‘Vyuma Vimekaza’, Mtindo na Dhima, Tanzania
dc.title Misemo ya ‘Vyuma Vimekaza’: Uchambuzi wa Mtindo na Dhima yake
dc.type Journal Article, Peer Reviewed


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account