dc.creator |
Majamba, Hamudi |
|
dc.creator |
Macha, Theo |
|
dc.creator |
Mshana, Ebenezer |
|
dc.date |
2021-05-05T14:23:47Z |
|
dc.date |
2021-05-05T14:23:47Z |
|
dc.date |
2001-07 |
|
dc.date.accessioned |
2021-05-07T11:57:53Z |
|
dc.date.available |
2021-05-07T11:57:53Z |
|
dc.identifier |
http://hdl.handle.net/20.500.11810/5745 |
|
dc.identifier.uri |
http://hdl.handle.net/20.500.11810/5745 |
|
dc.description |
Katika kuitekeleza sera ya serikali kuhusu utunzaji maliasili kwa kuwashirikisha wananchi
kuweza kutunza maliasili zilizopo kwenye maeneo yao, Timu ya Wanasheria wa Mazingira
(LEAT) waliingia mkataba na Mradi wa Usimamizi wa Mazingira Rufiji (MUMARU) ili
kutengeneza, kutoa na kuandika kozi ya mafunzo kuhusu sheria za utunzaji maliasili
zinazoendana na vijiji katika vijiji vilivyochaguliwa katika wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani.
LEAT na MUMARU waliingia mkataba ulioanza tarehe 30 April 2001 hadi 15 Juni 2001.
Lengo na madhumuni ya mafunzo haya kimsingi ni kuongeza ufahamu wa wanavijiji na
uelewa wa sheria za utunzaji maliasili kwa ujumla lakini hasa kwenye zile sheria zinazohusu
maliasili zinazopatikana katika maeneo yao. Kozi pia iliandaliwa katika hali ya kuweza
kuhakikisha kwamba wanavijiji wananaweza kutengeneza sheria ndogondogo kufuatana na
utaratibu uliowekwa kisheria ili kutunza vizuri maliasili zao. |
|
dc.relation |
Technical Report No. 21;Report |
|
dc.subject |
Natural Resources Management Law at Local Community Level |
|
dc.title |
Mafunzo Kwa Wanavijiji Kuhusu Sheria Zinazohusu Usimamiaji Wa Maliasili Kwa Jamii |
|
dc.type |
Technical Report |
|