dc.creator |
Othman, Salama Omar |
|
dc.date |
2019-08-21T06:41:12Z |
|
dc.date |
2019-08-21T06:41:12Z |
|
dc.date |
2015 |
|
dc.date.accessioned |
2022-10-20T13:54:35Z |
|
dc.date.available |
2022-10-20T13:54:35Z |
|
dc.identifier |
Othman, S. O. (2015). Nafasi ya utani wa sokoni na dikoni kwa jamii ya Wazanzibari. Dodoma: Chuo Kikuu cha Dodoma |
|
dc.identifier |
http://hdl.handle.net/20.500.12661/1031 |
|
dc.identifier.uri |
http://hdl.handle.net/20.500.12661/1031 |
|
dc.description |
Tasnifu (Shahada ya Uzamili katika Fasihi ya Kiswahili) |
|
dc.description |
Utafiti huu uliangalia nafasi ya utani wa sokoni na dikoni kwa jamii ya Wazanzibari.
Utafiti uliongozwa na malengo matatu ambayo yalisaidia kubainisha nafasi ya utani
wa sokoni na dikoni kwa jamii ya Wazanzibari. Tafiti zinazohusu utani nyingi
zamezungumzia juu ya utani wa makabila na kwenye matukio ya sherehe na misiba
na kutoa nafasi kwa mtafiti kuuchunguza utani katika muktadha huu.
Utafiti ulifanyika uwandani na maktabani, na kutumia mbinu ya usaili, udodosaji, na
ushuhudiaji katika kukusanya data. Maeneo yaliyotumika katika ukusanyaji wa data
ni soko la Mwanakwerekwe na diko la Maruhubi katika mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja. Data zilichambuliwa kwa kuongozwa na nadharia ya utambulisho wa
kijamii ambayo misingi yake mikuu ni utambulisho wa kijamii, ulinganishi katika
jamii pamoja na matabaka na mgawanyiko katika jamii.
Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa utani wa sokoni na dikoni una nafasi
kubwa kwa jamii kwa jamii ya Wazanzibari. Utani huzuka kutokana na sababu
tofauti za kijamii, kiuchumi na kiutamaduni. Na hujengeka zaidi kwa maneno yenye
ubeuzi dhihaka na utwezaji; na mara chache hutambwa kimatendo. Aidha, utani
umekuwa ni chachu ya kuleta maelewano na udugu kwa watumiaji wa soko na diko
na kupeleka mbele gurudumu la maisha yao. Zaidi, utafiti umegundua kuwa jadi hii
bado wanajamii wanaikubali na ipo haja ya kuiendeleza kwani utani kwa wao ni
kitambulisho cha utamaduni wao. Nadharia ya Utambulisho wa Jamii iliyotumika
ilisaidia kufafanua jinsi utani unavyowatambulisha watu kwa hadhi zao, kazi zao na
kutofautiana baina yao katika muktadha wa sokoni na dikoni. |
|
dc.language |
Kisw |
|
dc.publisher |
Chuo Kikuu cha Dodoma |
|
dc.subject |
Utani |
|
dc.subject |
Sokoni |
|
dc.subject |
Utani wa sokoni |
|
dc.subject |
Dikoni |
|
dc.subject |
Utani wa dikoni |
|
dc.subject |
Wazanzibari |
|
dc.title |
Nafasi ya utani wa sokoni na dikoni kwa jamii ya Wazanzibari |
|
dc.type |
Dissertation |
|