COSTECH Integrated Repository

Upinduzi wa kimahali katika lugha ya kiswahili: Dhima za kisarufi na sifa za kimofosintaksia za viambajengo vinavyohusika

Show simple item record

dc.creator Hassan, Fabiola
dc.date 2020-11-26T09:23:29Z
dc.date 2020-11-26T09:23:29Z
dc.date 2019
dc.date.accessioned 2022-10-20T12:01:03Z
dc.date.available 2022-10-20T12:01:03Z
dc.identifier Hassan, F. (2019). Upinduzi wa kimahali katika lugha ya kiswahili: dhima za kisarufi na sifa za kimofosintaksia za viambajengo vinavyohusika. Kiswahili, 19(1), 14-43.
dc.identifier URL: https://journals.udsm.ac.tz/index.php/kiswahili/article/view/3168
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.12661/2634
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12661/2634
dc.description Abstract. Full text article available at https://journals.udsm.ac.tz/index.php/kiswahili/article/view/3168
dc.description Ingawa mchakato wa upinduzi wa kimahali umefanyiwa utafiti katika lugha mbalimbali za Kibantu, dhima za kisarufi za viambajengo vinavyohusika hutofautiana kati ya lugha moja na nyingine. Pamoja na kutofautiana huko, pia kuna utata wa dhima hizo. Mathalani, Salzman (2004) anaeleza kuwa kithimu kilichopinduliwa ni yambwa na, kwa upande mwingine, anaeleza pia kwamba kithimu hicho siyo yambwa. Hivyo, haikubainishwa wazi kama kithimu hicho ni yambwa au siyo yambwa. Pia, kama siyo yambwa, haikuwekwa wazi kwamba kina dhima gani. Lengo la makala hii ni kubainisha viambajengo vinavyohusika katika upinduzi wa kimahali, dhima za kisarufi za viambajengo hivyo pamoja na sifa zake za kimofosintaksia katika Kiswahili. Makala inabainisha kwamba viambajengo vinavyohusika ni kimahali, kithimu, na mtenda. Aidha, kimahali kisichopinduliwa ni oblikyumahali na, kile kilichopinduliwa ni kiima; kithimu kisichopinduliwa ni kiima na kile kilichopinduliwa ni yambwaθ; na mtenda asiyepinduliwa ni kiima na yule aliyepinduliwa ni chagizo. Hitimisho la makala hii ni kwamba viambajengo vinavyohusika katika upinduzi wa kimahali vinadhihirisha mabadiliko ya dhima za kisarufi. Data za makala hii zimekusanywa kwa mbinu ya upitiaji wa nyaraka (Whiteley, 1968; Mkude, 2005; na Khamis, 2008) na ushuhudiaji-shiriki. Ufafanuzi wa data umeongozwa na Nadharia ya Sarufi Leksia Amilifu ya Bresnan na Kaplan (mwishoni mwa miaka ya 1970
dc.language Kisw
dc.publisher The University of Dar es salaam
dc.subject Kimahali
dc.subject Kimofosintaksia
dc.subject Viambajengo
dc.subject Kibantu
dc.subject Sarufi
dc.subject Upinduzi wa kimahali
dc.subject Lugha ya Kiswahili
dc.subject Mofosintaksia
dc.title Upinduzi wa kimahali katika lugha ya kiswahili: Dhima za kisarufi na sifa za kimofosintaksia za viambajengo vinavyohusika
dc.type Article


Files in this item

Files Size Format View
Fabiola Hassan.pdf 187.3Kb application/pdf View/Open

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account