COSTECH Integrated Repository

Utoshelevu wa Mawasiliano kwa Kiswahili katika Teknolojia ya Sikanu: Uchunguzi Kifani wa WhatsApp.

Show simple item record

dc.creator Stephano, Rehema
dc.date 2021-05-12T09:25:34Z
dc.date 2021-05-12T09:25:34Z
dc.date 2020
dc.date.accessioned 2022-10-20T12:01:03Z
dc.date.available 2022-10-20T12:01:03Z
dc.identifier Stephano, R. (2020). Utoshelevu wa mawasiliano kwa Kiswahili katika teknolojia ya SIKANU. JULACE: Journal of the University of Namibia Language Centre, 5(1), 1-14.
dc.identifier URL: http://journals.unam.edu.na/index.php/JULACE/article/view/1480
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.12661/3040
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12661/3040
dc.description Abstract. Full text article available at http://journals.unam.edu.na/index.php/JULACE/article/view/1480
dc.description Makala hii inahusu uchunguzi wa utoshelevu wa mawasiliano kwa Kiswahili katika teknolojia ya SIKANU. Uchunguzi umejikita katika programu tumizi ya SIKANU ijulikanayo kwa jina la WhatsApp na simu ya mkononi aina ya Tecno F1 imetumiwa kama uchunguzi kifani. Utafiti umetumia mkabala wa kitaamuli, ambapo maelezo na maelekezo ya Kiswahili yaliyomo katika WhatsApp yamechunguzwa katika kupima utoshelevu wake. Vigezo vilivyotumika kupima utoshelevu wa mawasiliano hayo ni uelewekaji, uwepo wa msamiati katika kamusi za Kiswahili na katika matumizi ya wazungumzaji, ngeli za nomino, mpangilio wa viambishi na wa maneno katika tungo. Uchanganuzi umeonesha kuwa msamiati unaotumika katika WhatsApp, kwa kiasi kikubwa, ni toshelevu kiasi cha kukidhi mawasiliano baina ya watumiaji wake. Kuna msamiati ambao unafahamika na kuzoeleka kwa watumiaji na mwingine ni mapya. Msamiati mpya
dc.language Kisw
dc.publisher University of Namibia
dc.subject Teknolojia
dc.subject KISANU
dc.subject WhatsApp
dc.subject Tecno F1.
dc.subject Swahili
dc.subject Simu ya mkononi
dc.title Utoshelevu wa Mawasiliano kwa Kiswahili katika Teknolojia ya Sikanu: Uchunguzi Kifani wa WhatsApp.
dc.type Article


Files in this item

Files Size Format View
Rehema Stephano.pdf 108.7Kb application/pdf View/Open

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account