COSTECH Integrated Repository

Ukiukwaji wa nadharia tumizi ya uakifishaji katika kazi za kitaaluma za wanafunzi wa shule za msingi Tanzania

Show simple item record

dc.creator Stephano, Rehema
dc.date 2021-05-28T07:20:27Z
dc.date 2021-05-28T07:20:27Z
dc.date 2020
dc.date.accessioned 2022-10-20T13:53:50Z
dc.date.available 2022-10-20T13:53:50Z
dc.identifier Stephano, R. (2020). Ukiukwaji wa nadharia tumizi ya uakifishaji katika kazi za kitaaluma za wanafunzi wa shule za msingi Tanzania.Jarida la Taasisi la Taaluma za Kiswahili, Juz. 153(37)
dc.identifier URL: https://journals.udsm.ac.tz/index.php/mj/article/view/2462
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.12661/3257
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12661/3257
dc.description Ikisiri. Makala kamili inapatikana https://journals.udsm.ac.tz/index.php/mj/article/view/2462
dc.description Makala haya ni zao la tasnifu ya Stephano (2015) yenye mada ya “Uzingatizi wa Viakifishi katika Uandishi wa Kitaaluma: Mifano kutoka Shule za Msingi Tanzania.” Makala inabainisha misingi mikuu ya Nadharia Tumizi ya Uakifishaji na kuonesha ukiukwaji wake katika nyaraka zinazotumika kufundishia na kujifunzia Kiswahili katika shule za msingi. Data za utafiti huu zimetokana na mapitio ya nyaraka za kufundishia na kujifunzia Kiswahili. Nyaraka hizo ni vitini vya masomo ya wanafunzi wa Darasa la VI na VII, na vitabu vya kiada na viongozi vya walimu Darasa I - VII. Matokeo ya uchunguzi wetu yanaonesha kuwa Nadharia Tumizi ya Uakifishaji haizingatiwi kwa uhakika, hasa katika uandishi wa insha. Ni viakifishi vichache tu, nukta, kiulizo, mshangao (viakifishi vya Safu 1) na mkato (kiakifishi cha Safu 4) ikilinganishwa na idadi inayopendekezwa na nadharia (ambavyo ni viakifishi kumi na vinne), ndivyo vinavyotumika. Zaidi, matokeo yanaonesha kuwa, pamoja na kutumika, viakifishi hivyo havitumiki kwa usahihi. Kwa hiyo, makosa ya kuandika sentensi bebanifu, sentensi tata na vipande sentensi hutokea. Makala yanapendekeza Nadharia Tumizi ya Uakifishaji kuzingatiwa wakati wa kuandika ili kuandika matini zinazoeleweka kwa wasomaji.
dc.language Kisw
dc.publisher Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
dc.subject Nadharia uakifishaji
dc.subject Wanafunzi shule msingi
dc.subject Tumizi uakifishaji taaluma
dc.subject Kiswahili
dc.subject Nadharia tumizi uakifishaji matini
dc.subject Shule msingi
dc.subject Tanzania
dc.title Ukiukwaji wa nadharia tumizi ya uakifishaji katika kazi za kitaaluma za wanafunzi wa shule za msingi Tanzania
dc.type Article


Files in this item

Files Size Format View
Stephano, Rehema.pdf 102.7Kb application/pdf View/Open

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account