COSTECH Integrated Repository

Dhima ya taswira katika ufasiri na uteguzi wa vitendawili

Show simple item record

dc.creator Badru, Zuhura A.
dc.date 2021-08-31T09:04:37Z
dc.date 2021-08-31T09:04:37Z
dc.date 2019
dc.date.accessioned 2022-10-20T13:53:50Z
dc.date.available 2022-10-20T13:53:50Z
dc.identifier Badru, Z. A., (2019). Dhima ya taswira katika ufasiri na uteguzi wa vitendawili. Kioo cha Lugha, 17
dc.identifier 0856-552X
dc.identifier URL: https://www.ajol.info/index.php/kcl/article/view/193403
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.12661/3309
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12661/3309
dc.description Ikisiri. Makala kamili inapatikana https://www.ajol.info/index.php/kcl/article/view/193403
dc.description Vitendawili ni utanzu wa fasihi simulizi ambao umechunguzwa kwa kiasi kikubwa hasa kuhusu maana, muundo pamoja na dhima zake. Aidha, imedhihirika kuwa utanzu huu ni tajiri katika matumizi ya lugha ya picha na ishara ambazo hufumbata sitiari inayotarajiwa kufumbuliwa. Hata hivyo, namna ambavyo picha na ishara hizo hufasiriwa na kupata maana bado haijachunguzwa. Katika makala hii tumebainisha namna taswira zinavyowezesha vitendawili kueleweka kwa kurahisisha tafsiri ya picha zilizotumika, kuondoa utata, kutumia maneno kiiktisadi, na hivyo, kuwezesha hadhira kufumbua kitendawili kwa wepesi na kuuona ulimwengu wake kwa upya. Data za makala hii zilipatikana kwa njia ya uchunguzi matini, mahojiano na mjadala wa vikundi baina ya mtafiti na watoataarifa wake kutoka baadhi ya mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani. Imebainika kwamba taswira katika vitendawili ina dhima kadhaa katika ufasiri na uteguaji wa vitendawili hivyo, ikiwamo kuondoa utata, kuutazama ulimwengu upya na kuleta iktisadi.
dc.language Kisw
dc.publisher Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
dc.subject Vitendawili
dc.subject Fasihi simulizi
dc.subject Dhima fasihi
dc.subject Lugha picha
dc.subject Taswira
dc.subject Ufasiri
dc.subject Uteguzi vitendawili
dc.subject Tanzu fasihi
dc.subject Tanzania bara
dc.subject Tanzania visiwani
dc.title Dhima ya taswira katika ufasiri na uteguzi wa vitendawili
dc.type Article


Files in this item

Files Size Format View
Badru, Zuhura A..pdf 5.812Kb application/pdf View/Open

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account