COSTECH Integrated Repository

Taswira na mabadiliko ya kiujumi katika vitendawili vya kiswahili

Show simple item record

dc.creator Badru, Zuhura A.
dc.date 2021-08-31T09:18:19Z
dc.date 2021-08-31T09:18:19Z
dc.date 2020
dc.date.accessioned 2022-10-20T13:53:51Z
dc.date.available 2022-10-20T13:53:51Z
dc.identifier Badru, Z. A., (2020). Taswira na mabadiliko ya kiujumi katika vitendawili vya kiswahili. Jarida la Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, JUZ. 39 (20-34), 17
dc.identifier URL: https://journals.udsm.ac.tz/index.php/mj/article/view/4021
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.12661/3312
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12661/3312
dc.description Ikisiri. Makala kamili inapatikana https://journals.udsm.ac.tz/index.php/mj/article/view/4021
dc.description Kwa kuwa fasihi haitokei katika ombwe, haiwezi kuepuka mabadiliko ya kiutamaduni, kifalsafa na kiujumi. Makala haya yanaangazia suala hili kwa kujikita katika utanzu wa fasihi simulizi, hususan vitendawili. Vitendawili vya Kiswahili kama sehemu ya fasihi, haviepuki athari za mabadiliko ya kiujumi yanayoikumba jamii ambamo vimeundwa. Mtazamo wa mwandishi wa makala haya ni kuwa thamani ya kiujumi iliyokuwamo katika vitendawili vya wakati uliopita pamoja na taswira zilizotumika nyakati hizo zina tofauti kubwa na zilizomo katika vitendawili vya sasa. Kadiri ulimwengu halisi unavyobadilika, tunatarajia pia kuwa thamani ya kiujumi inabadilika na hivyo taswira zinazotumika katika vitendawili zinabadilika ili kuendana na hali hiyo. Mawazo haya ndiyo kiini cha makala haya ambayo yamejikita kwenye mjadala unaohusu taswira na mabadiliko ya kiujumi katika vitendawili vya Kiswahili. Makala yana jumla ya sehemu tano zilizopangwa kama ifuatavyo: Sehemu ya kwanza ni utangulizi ambao unatoa picha ya jumla pamoja na kufafanua dhana za msingi kuhusu masuala yanayojadiliwa. Sehemu ya pili ni mapitio ya kazi tangulizi. Sehemu ya tatu inahusu methodolojia na nadharia ya utafiti. Matokeo ya uchambuzi yamebainishwa katika sehemu ya nne na sehemu tano ni hitimisho.
dc.language Kisw
dc.publisher Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
dc.subject Fasihi
dc.subject Tanzu fasihi simulizi
dc.subject Fasihi simulizi
dc.subject Vitendawili
dc.subject Taswira
dc.subject Vitendawili kiswahili
dc.subject Fasihi simulizi
dc.title Taswira na mabadiliko ya kiujumi katika vitendawili vya kiswahili
dc.type Article


Files in this item

Files Size Format View
Zuhura Badru.pdf 6.168Kb application/pdf View/Open

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account