COSTECH Integrated Repository

Ufanisi wa tafsiri za viwandani nchini Tanzania: uchunguzi wa vifungashio vya dawa za binadamu

Show simple item record

dc.creator Stephano, Rehema
dc.creator Gwajekera, Fidel Dassan
dc.date 2021-08-31T09:21:04Z
dc.date 2021-08-31T09:21:04Z
dc.date 2020
dc.date.accessioned 2022-10-20T13:53:51Z
dc.date.available 2022-10-20T13:53:51Z
dc.identifier Stephano, R. & Gwajekera, F. D. (2020). Ufanisi wa tafsiri za viwandani nchini Tanzania: uchunguzi wa vifungashio vya dawa za binadamu. Jarida la Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, JUZ. 38 (26-42)
dc.identifier URL: https://journals.udsm.ac.tz/index.php/mj/article/view/3158
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.12661/3313
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12661/3313
dc.description Ikisiri. Makala kamili inapatikana https://journals.udsm.ac.tz/index.php/mj/article/view/3158
dc.description Makala haya yanahusu tafsiri za vifungashio vya dawa za binadamu. Lengo kuu la kuandika makala haya lilikuwa kuchunguza ufanisi wa tafsiri za vifungashio hivyo. Methodolojia ya utafiti huu imejumuisha upitiaji wa tafsiri na usaili kwa wafamasia na watumiaji wa dawa. Lengo la kuwasaili wafamasia ni kupata taarifa kuhusu dhima ya wamiliki wa viwanda vya dawa kufanya tafsiri. Usaili wa watumiaji wa dawa ulilenga kuangalia tija za tafsiri za vifungishio vya dawa, hasa katika Kiswahili kwa watumiaji hao. Matokeo ya utafiti wetu yanaonesha kuwa ufanisi wa tafsiri hufikiwa pale tafsiri inapokidhi dhima zake. Uchunguzi wa vifungashio vya dawa umeonesha matokeo ya aina mbili ambayo ni kufanikiwa na kutofanikiwa kwa tafsiri katika dhima zake. Kufanikiwa kwa tafsiri katika vifungashio vya dawa za binadamu kumejionesha katika dhima mbalimbali kama vile kufanikisha mawasiliano, kufundisha na kujifunza lugha, pamoja na kupanua soko na kuwapa amani walaji wa bidhaa. Kutofanikiwa kwa tafsiri hizi kumetokana na kasoro kama vile udondoshaji, upotoshaji wa taarifa muhimu na kutozingatia sarufi ya lugha lengwa. Kutokana na kutofanikiwa kwa tafsiri za vifungashio hivyo vya dawa, utafiti huu unapendekeza tafsiri sahihi kuzingatiwa ili kukidhi mawasiliano pamoja na dhima nyingine za tafsiri. Kwa kufanya hivyo, dawa zitaweza kununuliwa na watu wengi zaidi kutokana na kuelewa maelekezo yanayotolewa katika lugha mbalimbali.
dc.language Kisw
dc.publisher Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
dc.subject Vifungashio
dc.subject Dawa binadamu
dc.subject Tafsiri viwandani
dc.subject Uchunguzi vifungashio
dc.subject Utumiaji dawa
dc.subject Kiswahili
dc.subject Vifungashio vya dawa
dc.title Ufanisi wa tafsiri za viwandani nchini Tanzania: uchunguzi wa vifungashio vya dawa za binadamu
dc.type Article


Files in this item

Files Size Format View
Stephano & Gwajekera.pdf 6.277Kb application/pdf View/Open

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account