COSTECH Integrated Repository

Uafrikanishaji katika riwaya ya kiswahili

Show simple item record

dc.creator Faustine, Stella
dc.date 2022-03-08T11:48:39Z
dc.date 2022-03-08T11:48:39Z
dc.date 2020
dc.date.accessioned 2022-10-20T13:53:51Z
dc.date.available 2022-10-20T13:53:51Z
dc.identifier Faustine, S. (2020). Uafrikanishaji katika riwaya ya kiswahili. Jarida la Taasisi ya Taaluma za Kiswahili JUZ, 38(55-73)
dc.identifier URL: https://journals.udsm.ac.tz/index.php/mj/article/view/3160
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.12661/3459
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12661/3459
dc.description Ikisiri. Makala kamili inapatikana https://journals.udsm.ac.tz/index.php/mj/article/view/3160
dc.description Makala haya yanajadili namna uchimuzi wa falsafa ya Waafrika unavyochangia kuipa fasihi ya Kiswahili sura ya Uafrika. Vipengele vilivyojadiliwa katika makala hii ni uzazi na ulezi kama jambo la muhimu kwa Waafrika, imani kuhusu uchawi, kuwapo kwa ulimwengu wenye matabaka matatu, mwendelezo wa maisha baada ya kifo na mtazamo kuhusu kuwapo kwa busara na hekima kwa wazee. Swali linaloibuliwa na kujibiwa na makala haya ni kuwa, je, ni kwa namna gani falsafa ya Waafrika imesawiriwa katika fasihi ya Kiswahili, na hivyo, kuifanya kuwa na sura ya Uafrika? Makala yanajibu swali hili kwa mifano hai kutoka katika riwaya za Kiswahili zilizoandikwa kwa kufuata mkondo wa kimajaribio ambazo ni Nagona (1990) ya E. Kezilahabi, Babu Alipofufuka (2001) ya S. AMohammed na Bina – Adamu! (2002) ya K. W. Wamitila.
dc.language Kisw
dc.publisher Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
dc.subject Fasihi
dc.subject Fasihi kiswahili
dc.subject Uafrikanishaji
dc.subject Uzazi
dc.subject Malezi
dc.subject Falsafa waafrika
dc.subject Nagona
dc.subject Babu alipofufuka
dc.subject Bina – Adamu
dc.title Uafrikanishaji katika riwaya ya kiswahili
dc.type Article


Files in this item

Files Size Format View
Faustine, S..pdf 104.0Kb application/pdf View/Open

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account