COSTECH Integrated Repository

Mabadiliko katika nyimbo za taarab na uwasilishaji wake kulingana na wakati

Show simple item record

dc.creator Khamis, Nadra Soud
dc.date 2018-10-09T06:22:02Z
dc.date 2018-10-09T06:22:02Z
dc.date 2017
dc.date.accessioned 2022-10-20T13:54:32Z
dc.date.available 2022-10-20T13:54:32Z
dc.identifier Khamis, N. S. (2017). Mabadiliko katika nyimbo za Taarab na uwasilishaji wake kulingana na wakati. Dodoma: Chuo Kikuu cha Dodoma
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.12661/453
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12661/453
dc.description Shahada ya Uzamili katika Fasihi ya Kiswahili
dc.description Utafiti huu ulilenga kuchunguza mabadililko ya nyimbo za taarab na uwasilishaji wake kulingana na wakati, ambao ulifanyika katika Mkoa wa Mjini Magharib. Jambo kubwa lililozungumziwa katika utafiti huu ni kuchunguza namna ya matukio ya kihistoria katika jamii ya Zanzibar yalivyoweza kuathiri mabadiliko ya nyimbo za taarab na uwasilishaji wake katika vipindi husika. Kama inavyoeleweka kuwa, Zanzibar imepitiwa na vipindi mbalimbali kihistoria kama vile kipindi cha utawala wa Sultan, harakati za Mapinduzi na Uhuru na pia baada ya Mapnduzi hadi sasa. Kutokana na vipindi hivi ambavyo Zanzibar imepitia, moja kwa moja vimeweza kuathiri nyimbo za taarab kwa kutungwa na kuimbwa kulingana na wakati husika., hali hii imesababishwa na kuwa, fasihi maisha yote huwasawiri yaliyomo katika jamii. Kwa hali hiyo basi, hata utanzu huu wa nyimbo za taarab umeweza kuyasawiri yale yaliyomo katika jamii katika vipindi mbalimbali ambavyo nyimbo hizi zimepitia, na kusababisha kuibuka kwa nyimbo mbali mbali katika kipindi husika. Utafiti ulifanyika maktabani na uwandani. Maktabani tuliyadurusu mapitio mbali mbali kama vile, kusoma majarida, tasnifu, tahakiki, makala na vitabu. Uwandani tulitumia mbinu ya mahojiano na majadiliano, ambapo mbinu hizi zilitusaidia katika ukusanyaji wa taarifa mbalimbali zilizohusu mada ya utafiti huu. Utafiti huu ulitumia nadharia ya Mwigo, ambayo inahusu namna kazi za sanaa ikiwemo fasihi, zinavyoweza kuiga au kuchota yaliyomo katika jamii katika vipindi mbali mbali. Uchambuzi wa data uliegemea katika maelezo kwa kuwa utafiti huu ni wa kitaamuli.
dc.language Kisw
dc.publisher Chuo Kikuu cha Dodoma
dc.subject Nyimbo
dc.subject Mjini Magharib
dc.subject Zanzibar
dc.subject Fasihi
dc.subject Siti bint Saad
dc.subject Juma Sheha
dc.subject Said Mwinyi
dc.subject Abdul Ali
dc.subject Rukia Ramadhan
dc.subject Taarab
dc.subject Mapinduzi
dc.subject Unguja
dc.subject Mpunga
dc.subject Afro Mama
dc.subject Hindustani
dc.subject Kijiti
dc.subject Tanzu
dc.subject Matukio
dc.subject Historia
dc.subject Wimbo
dc.subject Sultan
dc.subject Utawala
dc.title Mabadiliko katika nyimbo za taarab na uwasilishaji wake kulingana na wakati
dc.type Dissertation


Files in this item

Files Size Format View
NADRA SOUD - RIPOTI.pdf 1.480Mb application/pdf View/Open

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account