dc.creator |
Yangi, Emmanuel |
|
dc.date |
2019-08-20T06:26:57Z |
|
dc.date |
2019-08-20T06:26:57Z |
|
dc.date |
2015 |
|
dc.date.accessioned |
2022-10-20T13:54:34Z |
|
dc.date.available |
2022-10-20T13:54:34Z |
|
dc.identifier |
Yangi, E., (2015).Matumizi ya tamathali za semi katika nyimbo za misiba kwa jamii ya Wahehe. Dodoma: Chuo Kikuu cha Dodoma |
|
dc.identifier |
http://hdl.handle.net/20.500.12661/973 |
|
dc.identifier.uri |
http://hdl.handle.net/20.500.12661/973 |
|
dc.description |
Tasnifu (Shahada ya Uzamili katika Fasihi ya Kiswahili) |
|
dc.description |
Utafiti huu ulichunguza Matumizi ya Tamathali za Semi Katika Nyimbo za Misiba
ya Wahehe. Watafitiwa walikuwa ni Wahehe waishio katika wilaya ya Iringa vijiji
vya Tanangozi, Kalenga, Kipera, Mangalali na Nyabula. Jumla ya watafitiwa
walikuwa thelathini (30). Njia zilizotumika kukusanyia data ni mahojiano,
majadiliano, ushuhudiaji na kurekodi sauti. Data zilikusanywa na kuchambuliwa ili
kubainisha ni kwa kiasi gani nyimbo za misiba ya Wahehe zinatumia tamathali za
semi, tumeainisha aina za tamathali za semi zinazotumika kwa wingi katika nyimbo
za misiba ya Wahehe na tumebainisha dhima ya matumizi ya tamathali za semi
katika kuwasilisha maudhui katika nyimbo za misiba ya Wahehe. Data kutoka
maktabani zilipatikana kwa kupitia maandiko mbalimbali kufahamu nini wengine
wamefanya kuhusu nyimbo za Wahehe. Uchambuzi wa data ulifanyika kwa njia ya
ufafanuzi na data tulizozipata ziliwasilishwa kwa njia ya maelezo. Aidha vielelezo
vilitumika. Utafiti huu ulimakinikiwa na kuongozwa na mkabala wa Umbuji
unaohakiki kazi ya fasihi kwa kuangalia kipengele cha fani na si vipengele vingine. |
|
dc.language |
Kisw |
|
dc.publisher |
Chuo Kikuu cha Dodoma |
|
dc.subject |
Tamathali za semi |
|
dc.subject |
Nyimbo |
|
dc.subject |
Nyimbo za misiba |
|
dc.subject |
Wahehe |
|
dc.subject |
Tanangozi |
|
dc.subject |
Kalenga |
|
dc.subject |
Kipera |
|
dc.subject |
Mangalali |
|
dc.subject |
Nyabula |
|
dc.title |
Matumizi ya tamathali za semi katika nyimbo za misiba kwa jamii ya Wahehe |
|
dc.type |
Dissertation |
|