dc.creator |
Juma, Fatma Nassor |
|
dc.date |
2019-08-20T06:34:35Z |
|
dc.date |
2019-08-20T06:34:35Z |
|
dc.date |
2015 |
|
dc.date.accessioned |
2022-10-20T13:54:34Z |
|
dc.date.available |
2022-10-20T13:54:34Z |
|
dc.identifier |
Juma, F. N.(2015). Nyimbo za harusi na maadili ya ndoa za Wapemba. Dodoma: Chuo kikuu cha Dodoma |
|
dc.identifier |
http://hdl.handle.net/20.500.12661/974 |
|
dc.identifier.uri |
http://hdl.handle.net/20.500.12661/974 |
|
dc.description |
Tasnifu (Shahada ya Uzamili katika Fasihi ya Kiswahili) |
|
dc.description |
Utafiti huu umechunguza namna dhima za nyimbo za harusi zinavyojenga maadili
ya maisha ya ndoa ya jamii ya Kipemba. Aidha umejikita kuchunguza nyimbo za
asili za harusi za Kipemba kwa kuzingatia tukio na muhusika na umebainisha
dhamira zinazopatikana katika nyimbo hizo ili kuonesha dhima za nyimbo za harusi
katika kujenga maadili ya jamii ya Wapemba.
Kazi hii imetafitiwa kisiwani Pemba katika mikoa yote miwili, Kaskazini na Kusini.
Kutoka mkoa wa kusini data zilikusanywa Tibirinzi na Pujini. Aidha kutoka mkoa
wa Kaskazini utafiti ulifanyika maeneo ya Finya, Mlindo na Piki kwa kupata data
sahihi kwa muda muafaka.
Upatikanaji wa data ulikuwa kwa njia ya usaili na ushiriki na uchunguzi makini. Njia
hizi zilitumika ili kupata data zilizo sahihi kwa urahisi. Uchambuzi wa data hizo
umefanyika kwa kutumia mbinu ya maelezo iliyoambatana na mbinu ya ufafanuzi.
Utafiti huu umegundua kwamba kuna aina tano za nyimbo za harusi katika jamii ya
Wapemba. Dhamira na dhima za nyimbo hizo zinaonekana kujenga maadili ya
wanandoa wa Kipemba pindi zikiimbwa kwa mnasaba wa kufunza wanandoa lakini
kwa sasa zimeshindwa kutimiza wajibu huo kutokana na kutoimbwa kwa mnasaba
huo. |
|
dc.language |
Kisw |
|
dc.publisher |
Chuo Kikuu cha Dodoma |
|
dc.subject |
Nyimbo |
|
dc.subject |
Nyimbo za harusi |
|
dc.subject |
Maadili |
|
dc.subject |
Ndoa |
|
dc.subject |
Ndoa za wapemba |
|
dc.subject |
Wapemba |
|
dc.title |
Nyimbo za harusi na maadili ya ndoa za Wapemba |
|
dc.type |
Dissertation |
|