Dhima ya taswira katika ufasiri na uteguzi wa vitendawili

dc.creatorBadru, Zuhura A.
dc.date2021-08-31T09:04:37Z
dc.date2021-08-31T09:04:37Z
dc.date2019
dc.date.accessioned2022-10-20T13:53:50Z
dc.date.available2022-10-20T13:53:50Z
dc.descriptionIkisiri. Makala kamili inapatikana https://www.ajol.info/index.php/kcl/article/view/193403
dc.descriptionVitendawili ni utanzu wa fasihi simulizi ambao umechunguzwa kwa kiasi kikubwa hasa kuhusu maana, muundo pamoja na dhima zake. Aidha, imedhihirika kuwa utanzu huu ni tajiri katika matumizi ya lugha ya picha na ishara ambazo hufumbata sitiari inayotarajiwa kufumbuliwa. Hata hivyo, namna ambavyo picha na ishara hizo hufasiriwa na kupata maana bado haijachunguzwa. Katika makala hii tumebainisha namna taswira zinavyowezesha vitendawili kueleweka kwa kurahisisha tafsiri ya picha zilizotumika, kuondoa utata, kutumia maneno kiiktisadi, na hivyo, kuwezesha hadhira kufumbua kitendawili kwa wepesi na kuuona ulimwengu wake kwa upya. Data za makala hii zilipatikana kwa njia ya uchunguzi matini, mahojiano na mjadala wa vikundi baina ya mtafiti na watoataarifa wake kutoka baadhi ya mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani. Imebainika kwamba taswira katika vitendawili ina dhima kadhaa katika ufasiri na uteguaji wa vitendawili hivyo, ikiwamo kuondoa utata, kuutazama ulimwengu upya na kuleta iktisadi.
dc.identifierBadru, Z. A., (2019). Dhima ya taswira katika ufasiri na uteguzi wa vitendawili. Kioo cha Lugha, 17
dc.identifier0856-552X
dc.identifierURL: https://www.ajol.info/index.php/kcl/article/view/193403
dc.identifierhttp://hdl.handle.net/20.500.12661/3309
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12661/3309
dc.languageKisw
dc.publisherChuo Kikuu cha Dar es Salaam
dc.subjectVitendawili
dc.subjectFasihi simulizi
dc.subjectDhima fasihi
dc.subjectLugha picha
dc.subjectTaswira
dc.subjectUfasiri
dc.subjectUteguzi vitendawili
dc.subjectTanzu fasihi
dc.subjectTanzania bara
dc.subjectTanzania visiwani
dc.titleDhima ya taswira katika ufasiri na uteguzi wa vitendawili
dc.typeArticle

Files