Matatizo ya Kutumia Kiingereza Kufundishia Katika Shule za Sekondari na Vyuo vya Juu Tanzania

dc.creatorQorro, Martha
dc.date2019-10-04T15:18:52Z
dc.date2019-10-04T15:18:52Z
dc.date2005
dc.date.accessioned2021-05-03T13:06:34Z
dc.date.available2021-05-03T13:06:34Z
dc.descriptionMakala hii inaeleza matatizo yanayotokana na kutumia Kiingereza kufundishia katika shule za sekondari na vyuo nchini Tanzania. Makala inaanza kwa kufafanua tofauti zilizopo kati ya kufundisha lugha kama somo kwa lengo la kupanua mawanda ya mawasiliano; na ktumia lugha kama nyenzo ya kutolea maarifa. Makala imebainisha matatizo ya kijamii, kiutamaduni, kiuchumi, kielimu na kiakili yanayotokana na kutumia Kiingereza kama lugha ya kufundishia. Katika kubainisha matatizo hayo; makala imetumea vielelezo mbalimbali kutoka kwa walengwa wa viwango tofauti vya elimu; kuanzia kidato cha kwanza hadi chuo kikuu. Makala inahitimisha kwa kupendekeza kuwa ni vema kutumia lugha inayoeleweka; lugha ya jamii pana, Kiswahili, ili wanafunzi waweze kupata maarifa na ujuzi; sambamba na hilo, kufundisha Kiingereza kwa ufasaha zaidi kama lugha (bila kujitegemeza kuwa lugha ya kufundishia) – kama inavyofundishwa Kifaransa au Kichina.
dc.identifierQorro, M. 2005. Matatizo ya Kutumia Kiingereza Kufundishia Katika Shule za Sekondari na Vyuo vya Juu Tanzania. Kioo cha Lugha, Juzuu la 3, 22 -30.
dc.identifierhttp://hdl.handle.net/20.500.11810/5316
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/5316
dc.languageen
dc.publisherKioo cha Lugha
dc.relation;Juzuu la 3
dc.titleMatatizo ya Kutumia Kiingereza Kufundishia Katika Shule za Sekondari na Vyuo vya Juu Tanzania
dc.typeJournal Article, Peer Reviewed

Files