Training manual

No Thumbnail Available

Date

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Sokoine University of Agriculture & Critical Ecosystem Partneship Fund (CEPF) Marekani

Abstract

Description

Usimamizi Shirikishi wa Misitu ilianza mwanzoni mwa 1990, Usimamizi Shirikishi wa Misitu ni njia moja wapo ya utunzaji misitu wa kutumia jamii inayozunguka msitu husika.Sera ya Misitu ya Taifa, Sheria ya Misitu ya mwaka 2002 pamaoja na mipanngo na miradi ya Nchi inasisitiza Usimamizi Shirikishi wa Misitu kwa ajili ya kuboresha misitu nchini na kuongeza uhakika wa chakula na pato la mwananchi wanaozunguka misitu. Sera, sheria pamoja na miongozo zimetoa utaratibu wa uanzishaji Usimamizi Shirikishi wa Misitu. Lengo la kijitabu hiki ni kuainisha hatua kwa hatua na katika lugha rahisi namna ya uanzishaji na utekelezaji Usimamizi Shirikishi wa Misitu.

Keywords

Training manual, Utafiti Misitu Ludewa, Usimamaizi Misitu, Usimamizi Shirikishi Misitu.

Citation