KISWAHILI SILAHA YA AFRIKA: Wanasiasa na Watawala

dc.date2016-05-20T13:08:38Z
dc.date2016-05-20T13:08:38Z
dc.date2011
dc.date.accessioned2018-04-18T11:06:13Z
dc.date.available2018-04-18T11:06:13Z
dc.descriptionFull text can be accessed at http://www.ajol.info/index.php/ksh/article/view/79894
dc.descriptionMakala haya yanajadili suala la lugha na uhusiano wake na watawala na wanasiasa. Ingawa yanatoa mifano ya nafasi ya lugha katika kuwainua wanasiasa na dhima yake katika ulinzi na usalama, mjadala unalenga kuiangalia lugha ya Kiswahili na nafasi yake katika uwezekano wa kuwa lugha inayotumika Afrika yote. Lugha ya Kiswahili inalinganishwa na silaha ambayo haina budi kutumiwa na nchi za Kiafrika katika kujenga na kuulinda Uafrika. Swali kubwa ni: je, ni kwa nini wanasiasa huitumia tu lugha ili kujiinua na kisha kuiacha kando ikiisha kuwatimizia haja zao? Suala hili ni changamoto kubwa kwa wanasiasa ambao huwa watawala wanaozingatia masilahi yao binafsi. Haya ni makala ya kiuchambuzi ambayo yanalenga kuibua mjadala kuhusu hatua ambazo hazinabudi kuchukuliwa ili kuifanya lugha ya Kiswahili kuwa lugha ya Waafrika.
dc.identifierMutembei, A., 2011. Kiswahili Silaha Ya Afrika: Wanasiasa na Watawala. Kiswahili, 74(1).
dc.identifierhttp://hdl.handle.net/20.500.11810/2187
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/2187
dc.languagesw
dc.titleKISWAHILI SILAHA YA AFRIKA: Wanasiasa na Watawala
dc.typeJournal Article

Files