Tenzi Tafsiriwa katika Kiswahili: Ruwaza ya Shujaa Inavyojenga Falsafa katika Utenzi wa Kalevala

dc.creatorMwagike, Asifiwe
dc.creatorOmari, Shani
dc.date2020-02-13T09:28:47Z
dc.date2020-02-13T09:28:47Z
dc.date2016
dc.date.accessioned2021-05-07T11:37:33Z
dc.date.available2021-05-07T11:37:33Z
dc.descriptionUtenzi wa Kalevala ulichapishwa kwa mara ya kwanza kwa Kifini mwaka 1849. Tangu hapo utenzi huo ulitafsiriwa katika lugha zaidi ya arobaini kama vile Kijerumani (1852), Kiingereza (1880), Kirusi (1888), Kihispaniola (1953) na Kiswahili (1992). Hii dhahiri kuwa tafsiri ni moja ya nyenzo muhimu katika maendeleo ya taaluma mbalimbali na mawasiliano ulimwenguni kote. Lengo la makala hii ni kuchunguza namna ruwaza ya shujaa katika utenzi huu, ambao ni kazi muhimu ya tafsiri kwa Kiswahili na katika ushairi wa Kiswahili, inavyojenga na kuibua falsafa katika utenzi huo. Makala hii inatumia nadharia ya ruwaza ya shujaa ya Clyde Kluckhohn (1965) ili kuibua falsafa katika utenzi husika. Data za makala hii zimepatikana baada ya usomaji makini wa utenzi husika pamoja na machapisho mbalimbali yahusikayo. Makala hii imebaini kuwa ruwaza ya shujaa si tu njia ambazo mashujaa katika kazi ya fasihi wanapitia bali pia ni mkabala au nadharia muhimu ya kiuchambuzi wa kazi ya fasihi, hususan utendi.
dc.identifier978-9976-9935-1-6
dc.identifierhttp://hdl.handle.net/20.500.11810/5379
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/5379
dc.publisherNadharia za Tafsiri, Ukalimani na Uundaji wa Istilahi, Daud Publishing Company Ltd
dc.subjectRuwaza ya Shujaa, Falsafa, Utenzi wa Kalevala
dc.titleTenzi Tafsiriwa katika Kiswahili: Ruwaza ya Shujaa Inavyojenga Falsafa katika Utenzi wa Kalevala
dc.typeBook chapter

Files