Baadhi ya Vipengele vya Uambatizi wa Vitenzi katika Kishambala

dc.creatorPeterson, Rhoda
dc.date2021-04-20T10:17:30Z
dc.date2021-04-20T10:17:30Z
dc.date2008
dc.date.accessioned2021-05-07T11:36:42Z
dc.date.available2021-05-07T11:36:42Z
dc.descriptionUambatizi ni mchakato mmojawapo wa kimofolojia unaohusu uundaji wa maneno. Mchakato huu huhusisha kategoria mbalimbali za maneno, kama vile nomino, vitenzi, vivumishi, vimilikishi, na vioneshi (Kiango, 2000). Vipengele mbalimbali ndani ya kategoria hizo huweza kutofautiana kutoka lugha moja hadi nyingine kutegemeana na sarufi ya lugha husika. Lengo la makala hii ni kuchunguza na kudhihirisha jinsi baadhi ya vipengele vya uambatizi wa vitenzi vinavyojitokeza katika Kishambala. Uchunguzi huu mdogo ni sehemu ya uchunguzi mpana unaolenga kuchambua sarufi ya Kishambala, kazi iliyoanzishwa na wataalamu kadhaa, mmojawapo akiwa marehemu Prof. Besha (1985)
dc.descriptionSelf
dc.identifier0856-552 X
dc.identifierhttp://hdl.handle.net/20.500.11810/5622
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/5622
dc.languagesw
dc.publisherTUKI
dc.relationVol.6;
dc.subjectMofolojia, uambatizi, Kishambala
dc.titleBaadhi ya Vipengele vya Uambatizi wa Vitenzi katika Kishambala
dc.typeJournal Article

Files