Uliberali mamboleo ndani ya MKUKUTA

No Thumbnail Available

Date

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Bulletion of Mwalimu Nyerere Chair

Abstract

Description

Makala hii inapitia mikakati ya maendeleo inayoongoza Tanzania leo. Ingawa mikakati hii inafuatwa na nchi nyingi masikini makala imeichukulia Tanzania kama mfano na kulinganisha tulikotoka, enzi za mikakati ya kupunguza umasikini. Makala inajaribu kueleza kuwa mikakati tunayofuata sasa ya kupunguza umasikini inafuata itikadi ya uliberali – mamboleo inayosisitiza sana ukuaji wa uchumi pasipo kuangalia usawa katika ugawanyaji wa faida itokanayo na mapato haya ya uchumi.

Keywords

neoliberalism, poverty reduction, decentralization

Citation