Kauli za utendwa/utendewa katika tamthilia za Machozi ya Mwanamke na Heshima Yangu

dc.creatorMahenge, Elizabeth
dc.date2016-04-11T12:16:26Z
dc.date2016-04-11T12:16:26Z
dc.date2010
dc.date.accessioned2018-04-18T11:06:13Z
dc.date.available2018-04-18T11:06:13Z
dc.descriptionTo get full access please visit the following link http://www.ajol.info/index.php/kcl/article/view/61309
dc.descriptionKazi hii ni ya utafiti wa kiisimu mitindo unaolenga kulinganisha na kulinganua kazi mbili za tamthiliya za Kiswahili ambazo ni Heshima Yangu (Muhando, 1974) na Machozi ya Mwanamke (Ngozi, 1977). Kwanza, makala inachunguza matumizi ya kauli za utendwa/utendewa katika tamthiliya hizi ili kujua kama ni ya hiari au shinikizo la muktadha. Vilevile lengo ni kujua tofauti ya matumizi hayo kwa waandishi hawa ili kuona wana mwelekeo gani. Pili, makala inatafuta sababu za matumizi haya ya kauli zenye utendwa/utendewa katika tamthiliya hizo. Baada ya hapo, makala inachunguza aina za utendwa/utendewa zilizojitokeza katika tamthiliya hizo. Dai tete linaloongoza makala hii ni kwamba, katika tamthilia hizi mbili, wanaume wanatumia kwa wingi kauli zenye utendwa kuliko wanawake
dc.identifierMahenge, E., 2010. Kauli za utendwa/utendewa katika tamthilia za Machozi ya Mwanamke na Heshima Yangu. Kioo cha Lugha, 4(1).
dc.identifier0856-552X
dc.identifierhttp://hdl.handle.net/123456789/1476
dc.identifierhttp://dx.doi.org/10.4314/kcl.v4i1.61309
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/123456789/9169
dc.languagesw
dc.publisherTUKI
dc.subjectTamthilia
dc.subjectKauli za utendwa/utendewa
dc.titleKauli za utendwa/utendewa katika tamthilia za Machozi ya Mwanamke na Heshima Yangu
dc.typeJournal Article, Peer Reviewed

Files