Traditional Dances and Bongo Fleva: A Study of Youth Participation in Ngoma Groups in Tanzania

dc.creatorSanga, Daines Nicodem
dc.date2016-08-16T08:17:24Z
dc.date2016-08-16T08:17:24Z
dc.date2013
dc.date.accessioned2018-03-27T08:43:46Z
dc.date.available2018-03-27T08:43:46Z
dc.descriptionKasi ya vijana katika kukuza muziki wa kizazi kipya katika kipindi cha utandawazi haiendani na kasi ya ukuzaji wa ngoma za asili. Mpaka sasa haujafanyika utafiti wa kina kuhusu kuzuka kwa tabia hii. Makala haya yanatumia mahojiano na vikundi vya ngoma vitatu halikadhalika wanamuziki wa kizazi kipya kuweka bayana chanzo cha tatizo. Aidha, makala haya yanatumia nadharia ya utendaji kama darubini kuchunguza matatizo ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni yanayowakumba vijana na namna yanavyochochea mfumuko wa tabia hii mpya. Utafiti huu umegundua kwamba uhaba wa mianya ya kiuchumi na kisiasa kwa vijana, nafasi ya ngoma za asili katika jamii ya sasa, mahusiano hasi kati ya vijana na wazee katika kuuendeleza utamaduni pamoja na vijana kutaka maendeleo ya haraka kuwa ndio chimbuko la tatizo.
dc.descriptionDAAD
dc.identifier1614-2373
dc.identifierhttp://hdl.handle.net/20.500.11810/3521
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/3521
dc.languageen
dc.publisherSwahili Forum
dc.relationSWAHILI FORUM 20 (2013);
dc.subjectTraditional dances
dc.subjectBongo Fleva
dc.subjectYouth
dc.subjectTanzania
dc.titleTraditional Dances and Bongo Fleva: A Study of Youth Participation in Ngoma Groups in Tanzania
dc.typeJournal Article

Files