Bongo Fleva Inapotosha Jamii: Je ni Dai Jipya katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili?

dc.creatorSamwel, Method
dc.date2017-05-25T07:40:40Z
dc.date2017-05-25T07:40:40Z
dc.date2012
dc.date.accessioned2018-03-27T12:39:57Z
dc.date.available2018-03-27T12:39:57Z
dc.descriptionMuziki wa Bongo Fleva umepitia kipindi kigumu cha kihistoria kwa kukataliwa na kuonekana kwa unapotosha jamii. Japo kwa sasa muziki huu unaoneana kukubalika, bado kuna baadhi ya watu wanauona kwamba unapotosha jamii. Miongoni mwa mambo yaliyoufanya muziki huu ukataliwe na kuhusishwa na upotoshaji wa jamii ni mavazi ya wasanii wake, maneno ya kihuni yanayotumika, tabia za wasanii, matumizi ya madawa ya kulevya, pombe na mengine ya aina hiyo. Makala haya yanapitia na kuangalia ikiwa dai kwamba kazi za fasihi hasa muziki wa Bongo Fleva unapotosha jamii ni jipya au la. Aidha, makala haya yanatoa mwelekeo mpya wa kufuatwa na wanajamii katika kuzihukumu kazi za fasihi za aina hiyo.
dc.identifierhttp://hdl.handle.net/20.500.11810/4553
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/4553
dc.languagesw
dc.publisherKioo cha Lugha No. 10 Vol. 10, TUKI: Dar es Salaam.
dc.subjectBongo Fleva, Upotoshaji, Nadharia za Fasihi
dc.titleBongo Fleva Inapotosha Jamii: Je ni Dai Jipya katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili?
dc.typeJournal Article, Peer Reviewed

Files