Ulinganishi wa mfumo wa sauti katika “lugha” za Mara kaskazini

dc.creatorAlphonce, Boniphace M.
dc.date2020-11-25T08:02:58Z
dc.date2020-11-25T08:02:58Z
dc.date2018
dc.date.accessioned2022-10-20T12:01:03Z
dc.date.available2022-10-20T12:01:03Z
dc.descriptionAbstract. Full text article available at https://journals.udsm.ac.tz/index.php/kiswahili/article/view/2433
dc.descriptionMakala hii inahusu ulinganishi wa mfumo wa sauti katika “lugha” za Mara Kaskazini. Sauti zilizolinganishwa ni konsonanti na irabu. Ulinganishi huu umezingatia Nadharia ya Isimuhistoria na Isimulinganishi katika kuonesha uhusiano wa “lugha” zilizochunguzwa. Lengo la ulinganishi wa “lugha” hizi ni kubaini kama kuna mfanano au tofauti miongoni mwake. Matokeo yaliyotokana na data kutoka uwandani yamedhihirisha mfanano mkubwa wa “lugha” hizi za Mara Kaskazini katika mfumo wa sauti. Matokeo haya yanatushawishi tuzichukulie “lugha” hizi kama ni lahaja zinahusiana kwa karibu, na pengine zimetokana na lugha-chanzi moja na sio lugha zinazojitegemea kama zinavyotazamwa kiisimujamii.
dc.identifierAlphonce, B. M. (2018). Ulinganishi wa mfumo wa sauti katika “lugha” za Mara kaskazini. Kiswahili, 18(1), 52-61.
dc.identifierURL: https://journals.udsm.ac.tz/index.php/kiswahili/article/view/2433
dc.identifierhttp://hdl.handle.net/20.500.12661/2611
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12661/2611
dc.languageKisw
dc.publisherThe University of Dar es salaam
dc.subjectMfumo wa sauti
dc.subjectMara kaskazini
dc.subjectLugha
dc.subjectKonsonanti
dc.subjectIrabu
dc.subjectLugha-chanzi
dc.subjectKiisimujamii
dc.subjectUlinganishi wa lugha
dc.titleUlinganishi wa mfumo wa sauti katika “lugha” za Mara kaskazini
dc.typeArticle

Files