COSTECH Integrated Repository

Baadhi ya Vipengele vya Uambatizi wa Vitenzi katika Kishambala

Show simple item record

dc.creator Peterson, Rhoda
dc.date 2021-04-20T10:17:30Z
dc.date 2021-04-20T10:17:30Z
dc.date 2008
dc.date.accessioned 2021-05-07T11:36:42Z
dc.date.available 2021-05-07T11:36:42Z
dc.identifier 0856-552 X
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/5622
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/5622
dc.description Uambatizi ni mchakato mmojawapo wa kimofolojia unaohusu uundaji wa maneno. Mchakato huu huhusisha kategoria mbalimbali za maneno, kama vile nomino, vitenzi, vivumishi, vimilikishi, na vioneshi (Kiango, 2000). Vipengele mbalimbali ndani ya kategoria hizo huweza kutofautiana kutoka lugha moja hadi nyingine kutegemeana na sarufi ya lugha husika. Lengo la makala hii ni kuchunguza na kudhihirisha jinsi baadhi ya vipengele vya uambatizi wa vitenzi vinavyojitokeza katika Kishambala. Uchunguzi huu mdogo ni sehemu ya uchunguzi mpana unaolenga kuchambua sarufi ya Kishambala, kazi iliyoanzishwa na wataalamu kadhaa, mmojawapo akiwa marehemu Prof. Besha (1985)
dc.description Self
dc.language sw
dc.publisher TUKI
dc.relation Vol.6;
dc.subject Mofolojia, uambatizi, Kishambala
dc.title Baadhi ya Vipengele vya Uambatizi wa Vitenzi katika Kishambala
dc.type Journal Article


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account