COSTECH Integrated Repository

Utendajipepe wa Fasihi Simulizi: Haja ya Kuwa na Tawi Jipya

Show simple item record

dc.creator Mnenuka, Angelus
dc.date 2021-05-01T16:44:05Z
dc.date 2021-05-01T16:44:05Z
dc.date 2019-11-24
dc.date.accessioned 2021-05-07T11:37:34Z
dc.date.available 2021-05-07T11:37:34Z
dc.identifier 2327-7408
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/5728
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/5728
dc.description Makala hii inajadili dhana ya utendaji wa fasihi simulizi mtandaoni. Kiini cha makala hii ni hoja kuwa uainishaji wa fasihi hivi sasa, yaani fasihi simulizi na fasihi andishi, umekitwa katika aina za uwasilishaji, ambazo ni uwasilishaji wa kimazungumzo na wa kimaandishi. Ugunduzi wa intaneti, na kuingia kwa teknolojia hiyo katika vifaabebe kama vile simu na sleti2 kwa kutumia programu mbalimbali za kuwasiliana, umewezesha mawasiliano ya kimaandishi ya papo kwa papo au yasiyo ya papo kwa papo. Mawasiliano hayo yamechangia kuibuka kwa lugha ya kipekee ambayo sifa zake hazifanani na sifa ya lugha ya kimazungumzo wala lugha ya kimaandishi. Licha ya kuwa na lugha ya kipekee, baadhi ya tanzu za fasihi simulizi, kwa namna ya kipekee, zimekuwa zikitendeka mtandaoni kwa kutumia lugha hiyohiyo. Utafiti huu umefanyika kwa kutumia Nadharia ya Utendaji bila kuathiri nafasi na umuhimu wa matini katika kazi za kifasihi.3 Data za utendaji wa vitendawili mitandaoni zilikusanywa, zilichambuliwa, na matokeo yake yanawasilishwa katika makala hii. Kwa kutumia utendaji wa vitendawili vya Kiswahili mtandaoni, ninapendekeza liundwe tawi jipya la fasihi ambalo litafumbata sifa za aina hiyo ya mawasiliano.
dc.language sw
dc.publisher Taylor & Francis Group
dc.relation 5;3-4
dc.subject Utendajipepe, vitendawili, mitandaoni, fasihi simulizi
dc.title Utendajipepe wa Fasihi Simulizi: Haja ya Kuwa na Tawi Jipya
dc.type Journal Article, Peer Reviewed


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account