COSTECH Integrated Repository

Matumizi ya ujaala katika ushairi wa Kiswahili: ulinganisho wa diwani za Mathias Mnyampala na Amri Abedi Kaluta

Show simple item record

dc.creator Mbwambo, Grace
dc.date 2018-10-09T08:18:17Z
dc.date 2018-10-09T08:18:17Z
dc.date 2017
dc.date.accessioned 2022-10-20T13:54:32Z
dc.date.available 2022-10-20T13:54:32Z
dc.identifier Mbwambo, G. (2017). Matumizi ya ujaala katika ushairi wa Kiswahili: ulinganisho wa diwani za Mathias Mnyampala na Amri Abedi Kaluta. Dodoma: Chuo Kikuu cha Dodoma
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.12661/456
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12661/456
dc.description Shahada ya Uzamili katika Fasihi ya Kiswahili
dc.description Utafiti huu unahusu matumizi ya ujaala katika ushairi wa Kiswahili: Ulinganisho wa diwani za Mathias Mnyampala na Amri Abedi Kaluta. Ujaala ni falsafa ambayo hutawala na kuongoza maisha ya binadamu (Ponera, 2014). Falsafa ya ujaala katika ushairi wa Kiswahili haijatafitiwa vya kutosha hivyo, kuwanyima fursa wasomaji na watunzi wa kazi za fasihi na kutoelewa dhana ya ujaala. Hii imemsukuma mtafiti kuchunguza matumizi ya falsafa ya ujaala katika ushairi wa Kiswahili. Kwa kiasi kikubwa, utafiti huu ulifanyika maktabani, baadaye mtafiti alienda uwandani kufanya mahojiano na wataalamu pamoja na familia za waandishi teule. Kwa mintarafu hiyo, mkabala wa kitaamuli ndio uliotumika katika uwasilishaji wa data za utafiti huu. Uchanganuzi wa data ulitumia nadharia ya udhanaishi kutokana na kuakisi kwake suala la kuamini katika uwepo wa Mungu kama inavyojidhihirisha katika diwani za waandishi teule zilizotumika katika utafiti huu. Matokeo ya utafiti huu yamebaini kuwa, katika ushairi wa Kiswahili kuna matumizi makubwa ya falsafa ya ujaala. Matumizi hayo hufanana na kutofautiana miongoni mwa waandishi teule waliotumika katika kazi hii. Kuna mpishano mkubwa baina ya jamii moja na nyingine. Licha ya mpishano huo, wote huamini katika kani ya Mungu inayotawala na kuongoza maisha ya binadamu. Utatifi huu uliibua michango mipya mbalimbali. Utafiti huu umependekeza tafiti zaidi zifanyike juu ya matumizi ya ujaala katika riwaya na tamthilia.
dc.language Kisw
dc.publisher Chuo Kikuu cha Dodoma
dc.subject Ushairi
dc.subject Ujaala
dc.subject Ulinganifu
dc.subject Ufananishi
dc.subject Mathias Mnyampala
dc.subject Amri Abedi Kaluta
dc.subject Kiswahili
dc.subject Falsafa
dc.subject Falsafa ya ujaala
dc.subject Matumizi ya ujaala
dc.subject Diwani
dc.subject Ushairi wa Kiswahili
dc.title Matumizi ya ujaala katika ushairi wa Kiswahili: ulinganisho wa diwani za Mathias Mnyampala na Amri Abedi Kaluta
dc.type Dissertation


Files in this item

Files Size Format View
GRACE MBWAMBO- RIPOTI.pdf 1.202Mb application/pdf View/Open

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account