COSTECH Integrated Repository

Nafasi ya mwanamke katika methali za Kikerewe

Show simple item record

dc.creator Kakuru, Yovin Butega
dc.date 2019-08-20T05:52:16Z
dc.date 2019-08-20T05:52:16Z
dc.date 2015
dc.date.accessioned 2022-10-20T13:54:36Z
dc.date.available 2022-10-20T13:54:36Z
dc.identifier Kakuru, Y. B., (2015). Nafasi ya mwanamke katika methali za Kikerewe. Dodoma: Chuo kikuu cha Dodoma.
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.12661/967
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12661/967
dc.description Tasnifu (Shahada ya Uzamili katika Fasihi ya Kiswahili)
dc.description Tasnifu hii inahusu nafasi ya mwanamke katika methali za Kikerewe. Malengo ya utafiti huu yalikuwa ni kuchunguza nafasi ya mwanamke katika methali za Kikerewe ambazo hutumiwa katika shughuli zao za kifamilia. Data zilikusanywa uwandani na maktabani. Baada ya hapo, mtafiti alitumia mkabala wa maelezo, pamoja na nadharia ya Ufeministi katika kuchanganua data. Tasnifu hii imekusudia kuziba pengo linayojitokeza kwa kuchunguza nafasi ya mwanamke katika methali za Kikerewe. Kuweza kuzamia hasa katika matumizi ya methali hizo kwa mwanamke, namna methali hizo zinavyomchora mwanamke na hata pia athari za methali hizo kwa jamii. Udodosaji na mahojiano ni mbinu zilizotumika katika ukusanyaji wa data zilizosaidia upatikanaji wa tasnifu hii. Utafiti huu ulibaini kuwa katika methali za Kikerewe zilizo nyingi, nafasi ya mwanamke kwa jamii hiyo ni ya kumdunisha. Hii ni kutokana na mfumo mzima wa maisha, mila, na desturi ambazo zimewakuza na ambazo ndicho kigezo kikubwa kinachowafanya watumie methali katika kumshambulia mwanamke na kuamini kuwa mwanamke ndiye chanzo cha matatizo ya kila jambo baya. Pia, tasnifu imeeleza nafasi ya mwanamke katika methali za Kikerewe kwa kujiegemeza katika methali kwa kumwangalia mwanamke, usawiri wa mwanamke katika methali na athari ya methali hizo kwa mwanamke. Mchango mpya wa tasnifu hii ni kwamba, elimu ni muhimu kwa mwanamke asiyetambua haki yake hasa kwa wale waishio vijijini.
dc.language Kisw
dc.publisher Chuo Kikuu cha Dodoma
dc.subject Mwanamke
dc.subject Methali
dc.subject Kikerewe
dc.subject Methali za Kikerewe
dc.subject Ufeministi
dc.title Nafasi ya mwanamke katika methali za Kikerewe
dc.type Dissertation


Files in this item

Files Size Format View
YOVIN BUTEGA KAKURU.pdf 443.4Kb application/pdf View/Open

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account