COSTECH Integrated Repository

KISWAHILI SILAHA YA AFRIKA: Wanasiasa na Watawala

Show simple item record

dc.date 2016-05-20T13:08:38Z
dc.date 2016-05-20T13:08:38Z
dc.date 2011
dc.date.accessioned 2018-04-18T11:06:13Z
dc.date.available 2018-04-18T11:06:13Z
dc.identifier Mutembei, A., 2011. Kiswahili Silaha Ya Afrika: Wanasiasa na Watawala. Kiswahili, 74(1).
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/2187
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/2187
dc.description Full text can be accessed at http://www.ajol.info/index.php/ksh/article/view/79894
dc.description Makala haya yanajadili suala la lugha na uhusiano wake na watawala na wanasiasa. Ingawa yanatoa mifano ya nafasi ya lugha katika kuwainua wanasiasa na dhima yake katika ulinzi na usalama, mjadala unalenga kuiangalia lugha ya Kiswahili na nafasi yake katika uwezekano wa kuwa lugha inayotumika Afrika yote. Lugha ya Kiswahili inalinganishwa na silaha ambayo haina budi kutumiwa na nchi za Kiafrika katika kujenga na kuulinda Uafrika. Swali kubwa ni: je, ni kwa nini wanasiasa huitumia tu lugha ili kujiinua na kisha kuiacha kando ikiisha kuwatimizia haja zao? Suala hili ni changamoto kubwa kwa wanasiasa ambao huwa watawala wanaozingatia masilahi yao binafsi. Haya ni makala ya kiuchambuzi ambayo yanalenga kuibua mjadala kuhusu hatua ambazo hazinabudi kuchukuliwa ili kuifanya lugha ya Kiswahili kuwa lugha ya Waafrika.
dc.language sw
dc.title KISWAHILI SILAHA YA AFRIKA: Wanasiasa na Watawala
dc.type Journal Article


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account