COSTECH Integrated Repository

RAIS WA TANGANYIKA MWALIMU JULIAS KAMBARAGE NYERERE

Show simple item record

dc.creator ELIZABETH MAHENGE
dc.date 2018-10-03T11:08:18Z
dc.date 2018-10-03T11:08:18Z
dc.date 2016
dc.date.accessioned 2021-05-07T11:37:33Z
dc.date.available 2021-05-07T11:37:33Z
dc.identifier 978-1-365-12399-3
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/4935
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/4935
dc.description Tamthiliya hii ya Rais wa Tanganyika Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni jaribio la kuiandika historia ya nchi ya Tanganyika (Tanzania) kwa njia ya kisanaa. Ni jaribio la kutaka kuongeza mchango wa kazi za kisanaa zinazozungumzia harakati za nchi ya Tanganyika tangu pale mkoloni alipokuwa akiitawala hadi ilipozaliwa upya Disemba 1961. Vilevile, tamthiliya hii inaonesha mchango wa wanaharakati mbalimbali ambao kwa matendo yao waliwezesha leo hii kuwa na taifa huru la Tanzania. Mchango wa watu kama Bibi Titi Mohamed hautajwi katika masomo ya historia ambayo tulijifunza shule ya msingi na sekondari. Mambo haya yanapaswa kurekebishwa ili vizazi vijavyo viijue historia ya nchi yetu kwa ufasaha.
dc.description Hii ni tamthiliya (mchezo wa kuigiza) unaosawiri historia ya nchi ya Tanganyika kwa njia ya kisanaa na kifasihi. Inahusu namna wapigania uhuru walivyojitoa muhanga ili kuhakikisha uhuru wa Tanganyika unapatikana. Hisoria hii inajumuisha vipindi mbalimbali ambavyo nchi ya Tanzania imepitia ikiwamo vita vya Kagera. Unaweza kununua nakala ya tamthiliya hii katika anwani ifuatayo:http://www.lulu.com/author/content_revise.php?fCID=18861610
dc.language sw
dc.publisher LULU
dc.subject DRAMA, KISWAHILI, TANGANYIKA, JULIAS NYERERE, TAMTHILIYA
dc.title RAIS WA TANGANYIKA MWALIMU JULIAS KAMBARAGE NYERERE
dc.type Book


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account